hapa bongo kuna msanii moja tu aliyethubutu kufanya colabo tena ya kingereza na msanii gwiji in the world from USA ,mean THE KING OF R&B, R.KELLY naye ni KING pekee tu. wengine hawa ni porojo tu hakuna lolote. wanabakia na vicolabo vya nigeria,ghana humu humu in the black land
Inabidi turudi darasani kujifunza nini maana ya kolabo katika muziki
Hiyo ni demo tu, maana yake ni ya kusikiliza...kama akiamua kuutoa ndio tutegemee video baadae.
huna mpaka sasa huna??? poa waitNaomba unitumie huu wimbo pwilo
Demo tu ila mtaa wa pili imesababisha povu la kufa mtu, hakuna utulivu tena. Sasa je ingekuwa official release how would it be.
#Rockstar4000presents
Inabidi turudi darasani kujifunza nini maana ya kolabo katika muziki
Kwa kweli, washainama, naona wanafurahia show!
Show gani