Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

hapa bongo kuna msanii moja tu aliyethubutu kufanya colabo tena ya kingereza na msanii gwiji in the world from USA ,mean THE KING OF R&B, R.KELLY naye ni KING pekee tu. wengine hawa ni porojo tu hakuna lolote. wanabakia na vicolabo vya nigeria,ghana humu humu in the black land

Ndege ina rivasi waache ubishi
 
Kiba ni hatari just imagine hit demo ya school baby jinsi anavyowatoa jasho team mbeleko
 
demo #ali kiba ft christian bella



gety ready for it #soon released
 

Attachments

  • 1437723192603.jpg
    1437723192603.jpg
    38.3 KB · Views: 107
Ingekuwa kelele, mbwembwe na fagio ndo mafanikio basi huyu mtoto wa mama,mlinzi wa pori angekuwa mbali sana lakini kinachompa msanii mafanikio ni ​JUHUDI,MAARIFA,UBUNIFU NA KUJUA UNATAKA NINI NA WAPENZI WA MUZIKI WAKO WANATAKA NINI.
 
Back
Top Bottom