Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
sawa ila hatuzirudishi
kashtaki tatizo nyie sujui mkoje yule meneja wa domo salaam sk akisema management ya kiba anaiba nyimbo zake anaziuza sasa kashtaki unganisha na hiyo kesi ya tuzo tulizoiba nendeni mahakamani sawa kedrick
#tushanyooka
Achana nao hawa, kipindi kile team wema wamempa support huyo stripper, akachukua saba, na sadaka akatoa, na party akafanya.
#kwakweliwanainamavizuri
Last edited by a moderator: