Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

ibrahim yowath yani post ya kwanza unapost humu kwa kejeli au unajifundisha kupost ila karibu jf hata hodi hujapiga
 
Last edited by a moderator:
yaani mtu had unafungua id mpya ili tu kumdiss kiba, kweli imewaingia na mule kwenye mwana angepta fally ingekuwaje
 
681b09fc8e23c0b98b53546b7743ef77.jpg

hii ilikuwa ifakara last week sisi hatushindani na ngedere kimya kimya
 
249f124f69dcfc083b642d53ea93f624.jpg

kiba bwana kwa nn unakua mpole hadi mambo ya maana we vp #video ya wife wa dunia mnaitaka mashabiki wa kiba tufanye kweli ??
 
tatizo lako kedrick wewe huna watu wakuchati nao sasa unakuja huku ili utafute watu wa kuchati sio vibaya ila kwa sasa huku tushakujua nenda fb au insta ndo kuna huo ujinga
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom