Ali Kiba Fans' Special Thread...

ilimradi hiyo collabo ka-produce Abbydad basi najua itakuwa ngoma kali
 
Sasa hii habari hapa inatuhusu nini? Kwanini usifungulie uzi wake?
Nyie watu sijui mkoje, kisa mmeshaona huu uzi uko active basi ndio mnaleta makorokocho yenu...
nifah upo? watu wa namna hiyo huwa wanatafuta kick kupitia uzi huu boya huyo
 
Last edited by a moderator:
mkuu huu mwaka kuna watu watahama peterchoka kuna davido stanley(cameroon) so ya saut sol bado nadhani ikitoka collabo ya bella inakuja ya kwake iliyofanyika kwa man water

tunazisubiri hizo nyimbo
 
Last edited by a moderator:
Wasanii wa Nigeria wanamwita 2face legend kina davido,wizkid na yemi alade n.k.
sasa wakati 2face alipoimba na kingkiba kwenye one8 project nigeria ilitambulika kimataifa zaidi kupitia ule wimbo
davido na wizkid amini usiamini wanamuogopa sanaa kingkiba(wanamuheshimu) coz kaimba na legend wao 2face
sasa tukio lililotokea juzi la davido kumtaja ali kiba watu wakawa wanauliza davido kamjuaje ali kiba kumbe davido,wizkid walikuwa wanamtafuta king kiba kwa collabo ila wataanzaje sasa .

vanessa mdeee ndo sababu ya king kiba kufanya collabo na davido pamoja na wizkid which is 90%done peterchoka Th Name niendelee??
 
Last edited by a moderator:
sasa baada ya vanessa mdee kufanikisha kuwapelekea king king kiba kwa wizkid na davido na yeye vanessa akapewa ofa ya kufanya collabo na yemi alade na seyi shay

yemi alade na davido wapo label moja (HKN) na wizkid na seyi shay wapo label moja (Banky W) so ilikuwa rahisi mno kukutana nao vanessa.

NOTE;king kiba ,stanley , na 2face wapo label moja (rockstar 4000) ndo mda mwingine nashangaa watu wanavyosema king kiba hana hela ya collabo wakati wasanii wengi wakubwa wapo chini ya (rockstar4000) ni rahisi kufanya nao collabo akiwemo fally ipupa sawa nifah peterchoka Th Name vuteni subra mambo mazuri hayataki haraka.
 
Last edited by a moderator:
tuvuteni subra sio mwaka mmoja nyimbo 20 sasa si bora mtu utoe album tu king hana haraka tukutane mwezi wa nane
 

me nasubiria vitu vizuri tu. asante kwa good news pwilo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…