Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

nikusaidie nn sasa??au unatafuta umaarufu huku soma uelewe

Vip kwan nmekuomba msaada, umaarufu wa nin na kwa kufanya nin....
....siku hiz kuna Google, kudanganya kungine sio kuzur, unajionesha usivo na akili
 
nikusaidie nn sasa??au unatafuta umaarufu huku soma uelewe

Vip kwan nmekuomba msaada, umaarufu wa nin na kwa kufanya nin....
....siku hiz kuna Google, kudanganya kungine sio kuzur, unajionesha usivo na maana!
 
Siku nyingi sanaa, basinkama sio wewe yule alikua Abou Saydou
Ivi sasa si angetumia fursa iyo..sasa ivi utasikia domo ana collabo na fally atatoboa africa ya kati tumebungaa tu

Kashaimba nae but wimbo ni wa Fally,,,,,, diamond kashirikishwa... So haizuii kitu kwa alikiba kufanya yake
 
Last edited by a moderator:
Ms.Lincoln ukimya wa kiba unatokana na management yake inayomsimamia kazi zake so yeye anafuata wanavyotaka rockstar 4000 wale sio waswahili ndo kinacho mcost ali kiba

ila we subiri hata mi mwenyewe sipendezwi na hivyo anavyofanya kiba mana ye mpake kitu kikamilike ndo anaanza promo

#ms .lincoln kiba anajua nini anafanya so vuta subira

Jamani, huu ushabiki wa kuvuta subira mgumuuuu....
Haya sasa nshapenda.
 
Last edited by a moderator:
Ms.Lincoln tatizo la kiba hapendi kuweka vitu wazi kwa mfano 1.collabo ya saut sol wao ndo wamewajulisha watu kama wana collabo na kiba ila kiba hajapost hiyo

2.collabo ya davido kama sio davido kuvujisha siri kuwa ana collabo na kiba tusingejua hadi ingetoka

3.collabo ya bella yeye christian bella ndo aliwajulisha watu kuwa ana collabo na kiba ila kiba ye alipost baada ya bella kuvujisha siri

Note: ali kiba ana project nyingi anafanya ila kwa siri kuna siku utaniamini na kuna wakati anaenda kufanya show bila kupost kwenye mitandao ya kijamii ye anaangalia maslahi sio sifa

Mkuu umekosea mwishoni hapo,,, SIFA??? unafikiri media kazi yake ni nin??
 
Last edited by a moderator:
Ms.Lincoln ukimya wa kiba unatokana na management yake inayomsimamia kazi zake so yeye anafuata wanavyotaka rockstar 4000 wale sio waswahili ndo kinacho mcost ali kiba

ila we subiri hata mi mwenyewe sipendezwi na hivyo anavyofanya kiba mana ye mpake kitu kikamilike ndo anaanza promo

#ms .lincoln kiba anajua nini anafanya so vuta subira

Usiwe mnafiki mkuu,,,, Mbona video huwa anaahidi miezi kabla??? sio kama ni management pekee hata na yeye anamatatizo yake kwenye hilo...

Afu kutangaza kama kitu kinakuja sio uswahili unataka kusema Davido ni mswahili kuongelea ujio wa collable??? sauti sol ni waswahili??
 
Last edited by a moderator:
Ukweli n kuwa kiba katika library yke hadi sasa Ana nyimbo moja tu na Bella tena wimbo wenywe haujakamilika hadi sasa ivi huo ndo ukweli Hana nyimbo nyingine yoyote aliofanya
 
source
 
Ila kiba anazingua sometimes mwaka unaishia jamaa katoa wimbo 1 tu, unajua sometimes hata nguvu za kumtetea zinaisha, mimi hata hizo collabo za bella na saut sol mi sina hamu nazo, kwani sion zikimpeleka king mbali, colabo inatakiwa afanye na watu wa nje ya east Africa sababu huku east tayar ana jina kinachotakiwa ni kulibrand juna lake sehem zingine.
 
I beg to differ,
Ivi mwaka mmoja unatakiwa utoe nyimbo ngapi?
Hakuna idadi, bali unatakiwa usikauke masikioni mwa wasikilizaji wako,
Sio kutokauka masikioni tu bali hata machoni pao,
Kwa ubora na radha tofauti tofauti za nyimbo.

Mwanamuziki mwenye uchu kwa mwaka anatoa ngoma hata 5
Usisikilize porojo za Pwilo na Kiba wake
 
Ila kiba anazingua sometimes mwaka unaishia jamaa katoa wimbo 1 tu, unajua sometimes hata nguvu za kumtetea zinaisha, mimi hata hizo collabo za bella na saut sol mi sina hamu nazo, kwani sion zikimpeleka king mbali, colabo inatakiwa afanye na watu wa nje ya east Africa sababu huku east tayar ana jina kinachotakiwa ni kulibrand juna lake sehem zingine.

Sure mkuu Mimi Sina team ila nasupport msanii anayefanya "movements" kiba Ana fanbase kubwa sana inabidi watu wake wa ndani wamshahuri hichi kitu ili atoboe and its easy. Ili tatizo lipo kwa wasanii kama Rich Mavoko na kina Ben Pol.
 
Siku nyingi sanaa, basinkama sio wewe yule alikua Abou Saydou
Ivi sasa si angetumia fursa iyo..sasa ivi utasikia domo ana collabo na fally atatoboa africa ya kati tumebungaa tu

After one8 Kiba aliimba na fally ila hakuitoa
Na nimewahi kuisikia kwa sikio langu ila kama kawaida yake akaiminyia sijui lilikua linawaza nini ,akapanga kuimba nae tena sijui kama tayari au bado
 
Last edited by a moderator:
Ila kiba anazingua sometimes mwaka unaishia jamaa katoa wimbo 1 tu, unajua sometimes hata nguvu za kumtetea zinaisha, mimi hata hizo collabo za bella na saut sol mi sina hamu nazo, kwani sion zikimpeleka king mbali, colabo inatakiwa afanye na watu wa nje ya east Africa sababu huku east tayar ana jina kinachotakiwa ni kulibrand juna lake sehem zingine.

According to sauti Sol
Wimbo ni wao Kiba kapewa shavu tu
Ila jamaa.....
 
Ms.Lincoln tatizo la kiba hapendi kuweka vitu wazi kwa mfano 1.collabo ya saut sol wao ndo wamewajulisha watu kama wana collabo na kiba ila kiba hajapost hiyo

2.collabo ya davido kama sio davido kuvujisha siri kuwa ana collabo na kiba tusingejua hadi ingetoka

3.collabo ya bella yeye christian bella ndo aliwajulisha watu kuwa ana collabo na kiba ila kiba ye alipost baada ya bella kuvujisha siri

Note: ali kiba ana project nyingi anafanya ila kwa siri kuna siku utaniamini na kuna wakati anaenda kufanya show bila kupost kwenye mitandao ya kijamii ye anaangalia maslahi sio sifa

Collabo ya Bella si waliiomba mashabiki insta kule
Baada ya show yao iliyofanywa escape one
Mashabiki wakaanza kuwaomba waimbe pamoja so tulijua kua itatokea bila hata kuambiwa na Bella .

Kuhusu Davido mpaka dakika davido anahojiwa na ayo ,Kiba alikua hajui chochote kuhusu davido kutaka kuimba nae
 
Kwan huo wimbo n kiba ft Bella au Bella ft kiba pwilo unisadie n we Mr infor.
 
Last edited by a moderator:
According to sauti Sol
Wimbo ni wao Kiba kapewa shavu tu
Ila jamaa.....

Sawa mkuu! Ila seriously lait kama Mondy angekuwa na mashabiki wenye mapenz ya dhati kama sisi teamKiba walah hata America wangemkoma.

Yani jinsi kiba tunavyompa support japokuwa ni kubwa sana hailingan na kile anachotulipa fans wake, just imagine miez 8 had sasa tangu mwaja umeanza kaachia wimbo 1 na video 1 tena kwa kuchelewa sana, mi nakwambia Kiba atumie vizur hii fursa atoe ngoma na msanii wa kimataifa hata wizkd, aache ulocal aiseee.
 
Daaaah!
Mkuu una hatari, huu uongo ni wa kimataifa, mbona unawadanganya sana wenzio???.....Yemi Alade yupo HKN😀😀😀
...duuh!....umewakamata kweli, halafu na wenyew wanakupa likes tu!
Hahahahaaaaaa😀😀😀😱😱😱
Sasa siungemrekebisha kuwa amehama kwani no lazma mwanamziki kukaa sehemu moja tu bila kuhama. Kwanza hzo label Hi minor issue huku focus ni kiba basi
 
Back
Top Bottom