Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

. hao watu wanaboa sana kwa kweli. tatizo lao huku wameona kimbilio
Wana tabia za kitoto sana kuja kutuharibia Uzi tu kiba tumemkubali na ana nafasi yake mbona siye hatuendagi kuwachafulia Uzi wao.
Wengine sijui walizaliwa bahati mbaya bora wangekua samaki. Utoto mwingi msanii wao ni bora lakini hawajiamini.
 
Ila kiba anazingua sometimes mwaka unaishia jamaa katoa wimbo 1 tu, unajua sometimes hata nguvu za kumtetea zinaisha, mimi hata hizo collabo za bella na saut sol mi sina hamu nazo, kwani sion zikimpeleka king mbali, colabo inatakiwa afanye na watu wa nje ya east Africa sababu huku east tayar ana jina kinachotakiwa ni kulibrand juna lake sehem zingine.

Mkuu umeongea vema...

Wapi mkuu pwilo athibitishe hii kauli..
 
Last edited by a moderator:
Wana tabia za kitoto sana kuja kutuharibia Uzi tu kiba tumemkubali na ana nafasi yake mbona siye hatuendagi kuwachafulia Uzi wao.
Wengine sijui walizaliwa bahati mbaya bora wangekua samaki. Utoto mwingi msanii wao ni bora lakini hawajiamini.

wanaboa sana kila mtu anapenda kile anachokiona kizuri. hawa wenzetu fujo zimewajaa sana. utoto umewazidi sana.
 
Ila kiba anazingua sometimes mwaka unaishia jamaa katoa wimbo 1 tu, unajua sometimes hata nguvu za kumtetea zinaisha, mimi hata hizo collabo za bella na saut sol mi sina hamu nazo, kwani sion zikimpeleka king mbali, colabo inatakiwa afanye na watu wa nje ya east Africa sababu huku east tayar ana jina kinachotakiwa ni kulibrand juna lake sehem zingine.

That wat we call real fans" :thumbup:
 
kiba kibakuli bwana tembo anahangaika kuvujisha nyimbo alianza n wife wa dunia akaja hella kaja n school baby pwilo unamzungmziaje msanii wenu hajiamini eeh n nyimbo izo zote n mbaya nimezickiliza zote
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • 1438160087511.jpg
    1438160087511.jpg
    21.4 KB · Views: 88
Back
Top Bottom