Ms.Lincoln tatizo la kiba hapendi kuweka vitu wazi kwa mfano 1.collabo ya saut sol wao ndo wamewajulisha watu kama wana collabo na kiba ila kiba hajapost hiyo
2.collabo ya davido kama sio davido kuvujisha siri kuwa ana collabo na kiba tusingejua hadi ingetoka
3.collabo ya bella yeye christian bella ndo aliwajulisha watu kuwa ana collabo na kiba ila kiba ye alipost baada ya bella kuvujisha siri
Note: ali kiba ana project nyingi anafanya ila kwa siri kuna siku utaniamini na kuna wakati anaenda kufanya show bila kupost kwenye mitandao ya kijamii ye anaangalia maslahi sio sifa