Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nifah upo? watu wa namna hiyo huwa wanatafuta kick kupitia uzi huu boya huyoSasa hii habari hapa inatuhusu nini? Kwanini usifungulie uzi wake?
Nyie watu sijui mkoje, kisa mmeshaona huu uzi uko active basi ndio mnaleta makorokocho yenu...
mkuu huu mwaka kuna watu watahama peterchoka kuna davido stanley(cameroon) so ya saut sol bado nadhani ikitoka collabo ya bella inakuja ya kwake iliyofanyika kwa man waterpwilo, ya sauti inatoka lini
mkuu huu mwaka kuna watu watahama peterchoka kuna davido stanley(cameroon) so ya saut sol bado nadhani ikitoka collabo ya bella inakuja ya kwake iliyofanyika kwa man water
usijali mkuu kaa tayari mwaka wetu huu Th Name peterchoka ngoja nikupe newz mana naweza sahau mi nna mambo mengitunazisubiri hizo nyimbo
usijali mkuu kaa tayari mwaka wetu huu Th Name peterchoka ngoja nikupe newz mana naweza sahau mi nna mambo mengi
usijali mkuu kaa tayari mwaka wetu huu Th Name peterchoka ngoja nikupe newz mana naweza sahau mi nna mambo mengi
sasa baada ya vanessa mdee kufanikisha kuwapelekea king king kiba kwa wizkid na davido na yeye vanessa akapewa ofa ya kufanya collabo na yemi alade na seyi shay
yemi alade na davido wapo label moja (HKN) na wizkid na seyi shay wapo label moja (Banky W) so ilikuwa rahisi mno kukutana nao vanessa.
NOTE;king kiba ,stanley , na 2face wapo label moja (rockstar 4000) ndo mda mwingine nashangaa watu wanavyosema king kiba hana hela ya collabo wakati wasanii wengi wakubwa wapo chini ya (rockstar4000) ni rahisi kufanya nao collabo akiwemo fally ipupa sawa nifah peterchoka Th Name vuteni subra mambo mazuri hayataki haraka.
tuvuteni subra sio mwaka mmoja nyimbo 20 sasa si bora mtu utoe album tu king hana haraka tukutane mwezi wa nane
imegoma kufunguka
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115] mkuu unatafuta ugomvi wewe Abou Saydou humjui?Msanii gani anatoa nyimbo 20 ndani ya mwaka mmoja?