sasa kuna show ile ya sauti za busara aisee kapiga live 45'Jamani mmeiona Churchill Show ya King Kiba huko YouTube?
O.M.G! Nimemvulia King kofia....ana sauti nzuri mnoooooo.
Dah, huyu mtu hana mpinzani kwakweli.
Hongera zako Kiba, Allah kakutunuku kipaji cha kipee, kitumie kutupa raha sisi mashabiki wako wa damu.
Ngoja nikaicheki mtu wangu maana nimeiacha kwanza.sasa kuna show ile ya sauti za busara aisee kapiga live 45'
Hatari sana na naomba kutumia fursa hii kumuomba King afanye collaboration na yule dogo anajua sana halafu ni shabiki wake wa ukweli.kiba hatari hiyo show niliiona dah!, kwani nifah wewe si una access ya kuonana na kiba
Hatari sana na naomba kutumia fursa hii kumuomba King afanye collaboration na yule dogo anajua sana halafu ni shabiki wake wa ukweli.
Yap, access ninayo ila dogo langu la ukweli Abou Saydou ndio mpango mzima kwenye access ya chochote kuhusu Kiba.
mi naona kiba hayupo serious. mwezi wa nane hu ana audio na video moja wakati nyimbo zipo kwenye makabati
Teh TehHatari sana na naomba kutumia fursa hii kumuomba King afanye collaboration na yule dogo anajua sana halafu ni shabiki wake wa ukweli.
Yap, access ninayo ila dogo langu la ukweli Abou Saydou ndio mpango mzima kwenye access ya chochote kuhusu Kiba.
sasa kuna show ile ya sauti za busara aisee kapiga live 45'
Jamani mmeiona Churchill Show ya King Kiba huko YouTube?
O.M.G! Nimemvulia King kofia....ana sauti nzuri mnoooooo.
Dah, huyu mtu hana mpinzani kwakweli.
Hongera zako Kiba, Allah kakutunuku kipaji cha kipee, kitumie kutupa raha sisi mashabiki wako wa damu.
mi naona kiba hayupo serious. mwezi wa nane hu ana audio na video moja wakati nyimbo zipo kwenye makabati
We unadhani kwanini? labda...
Ulitaka afanyaje
wewe habari za kiba hazikuhusu labda tumuongelee lowassa
Habari njema ni kwamba King mwenyewe hua anapitia huu uzi, bila shaka hili ataliona na kulifanyia kazi.
Huu sio uzi wa lowassa..hapa kiba...soma titleee mara ya pil mkuu
Hahahaaaaa huku nimekupa likizo napita mara mojamoja tu.Usisahau kuja lile jukwaa lingine la kule mwanawani!....kuwa makini usipotelee huku!
what is ur problem, infact nipo busy!
Watu wameona wakajipoze na siasa kingStrss
Umeshaanza yale majungu yako, ukipewa dawa utaanza kulia lia.Watu wameona wakajipoze na siasa kingStrss
Watu wameona wakajipoze na siasa kingStrss
Uking mwisho ktma