Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,947
- 2,108
Yap mkuu Abou Saydou muhimu kiba asikawie kutupa fans wake ngoma mpya
Naamini anatambua nini anafanya
Hatuna haja ya Kua na mawenge
naona mambo mazuri kwa #kingkiba safi sana
Yap mkuu
Vote for UKAWA kwanza, huko tumeshamaliza, tuikboe nchi kwanza mengine tutamalizana..
How can we vote for UKAWA wakati muda wenyewe bado??!
Fanya kuedit tu uweke link zote then unarudi kwenye siasa yako.
Kingkiba anafanya vyema sana na kizuri cha kufurahi ameshafungua njia ya international awards nayeye...vipi mbona kwenye websites ya AFRIMA wameweka categories 4 tu na iyo ya video ya mwaka bado hawajirelease au?Yap mkuu
Avemaria usiwaze soon nitamletea matola LINK ZOTE ZA TUZO ZA KIBA!!!How can we vote for UKAWA wakati muda wenyewe bado??!
Fanya kuedit tu uweke link zote then unarudi kwenye siasa yako.
Avemaria usiwaze soon nitamletea matola LINK ZOTE ZA TUZO ZA KIBA!!!
Mpendwa, hivi na wewe ni gamba? Niwekeeni link zote nitazipandisha pale juu, tumeshaichoka ccm ndio maana huku nipo likizo kwa muda.
Hata King wetu hajawahi kuwa promoted na Mkwele, sasa tumeamuwa kuing'oa ccm kwanza madarakani mengine yatafuata.
Kingkiba anafanya vyema sana na kizuri cha kufurahi ameshafungua njia ya international awards nayeye...vipi mbona kwenye websites ya AFRIMA wameweka categories 4 tu na iyo ya video ya mwaka bado hawajirelease au?
Good music 4 real and 4 life keep it king kiba!!!
Kingkiba anafanya vyema sana na kizuri cha kufurahi ameshafungua njia ya international awards nayeye...vipi mbona kwenye websites ya AFRIMA wameweka categories 4 tu na iyo ya video ya mwaka bado hawajirelease au?
Nafurahi kwa kuwa mziki wa tz unazidi kupanda tu