Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

How can we vote for UKAWA wakati muda wenyewe bado??!
Fanya kuedit tu uweke link zote then unarudi kwenye siasa yako.

Mpendwa, hivi na wewe ni gamba? Niwekeeni link zote nitazipandisha pale juu, tumeshaichoka ccm ndio maana huku nipo likizo kwa muda.

Hata King wetu hajawahi kuwa promoted na Mkwele, sasa tumeamuwa kuing'oa ccm kwanza madarakani mengine yatafuata.
 
Kingkiba anafanya vyema sana na kizuri cha kufurahi ameshafungua njia ya international awards nayeye...vipi mbona kwenye websites ya AFRIMA wameweka categories 4 tu na iyo ya video ya mwaka bado hawajirelease au?
 
Be it gamba au UKAWA ila muda wa kuvote si ni oct 25??!!

Haya ngoja wakupe link uzibandike mia sijui kuweka
 
Kingkiba anafanya vyema sana na kizuri cha kufurahi ameshafungua njia ya international awards nayeye...vipi mbona kwenye websites ya AFRIMA wameweka categories 4 tu na iyo ya video ya mwaka bado hawajirelease au?

18 categories hazijawa released
 
Kingkiba anafanya vyema sana na kizuri cha kufurahi ameshafungua njia ya international awards nayeye...vipi mbona kwenye websites ya AFRIMA wameweka categories 4 tu na iyo ya video ya mwaka bado hawajirelease au?

Nadhan mkuu Abou Saydou kashajibu hapo chini
 
Last edited by a moderator:
Best album of the year??? Ipi hiyo?? No hard feelings
 
Back
Top Bottom