Hahah yaani kwakweli hapo tutaisoma sote maana madudu yakianza kupitishwa bungeni yataaffect kila mtu haijalishi uko na political view ipi.
I was so down kuona Alikiba naye anaisaidia CCM kupiga kampeni. Imepelekea hata rate ya kumpigia kura kwenye tuzo ikapungua
Mimi ndio kabisaaaa sijui kama yuko nominated kwenye tuzo zozote zile.Hahah yaani kwakweli hapo tutaisoma sote maana madudu yakianza kupitishwa bungeni yataaffect kila mtu haijalishi uko na political view ipi.
I was so down kuona Alikiba naye anaisaidia CCM kupiga kampeni. Imepelekea hata rate ya kumpigia kura kwenye tuzo ikapungua
Mimi ndio kabisaaaa sijui kama yuko nominated kwenye tuzo zozote zile.
Siasa zimeondoa mapenzi yangu kwa Kiba,japo ukiangalia kwa jicho la 3 jamaa hakuwa na namna.
Kibongo bongo angepotezwa.
No collaboration no awards for Tanzanian artists
Kumkatia tamaa haipend[JFMP3][/JFMP3]ez no one is perfect
Hatujamkatia tamaa ndugu and if you read me well nimeandika mashabiki wa kiba sio wa kuibukia ni watu ambao tunamfeel toka kitambo tena toka moyoni hatuongozwi na mihemko na ndo maana pamoja na kitabia chake cha uslow lakini bado tuna hamu nae.....hatuchoshi!
Hapo sawa, diehard fans ndo wanapatikana kwa kiba tu
Yaani mi akili yangu ilishagoma kabisa kukubali eti diamond ni mkali zaidi ya Kiba......mmmmhh hapana kwakweli japokuwa currently dai ndo ameonekana kufana sana.
Mimi hata huwa hanishtui hata afanyaje, ila kiba hata akifanya kitu kidogo tu nakikubali.. kiba ni fundi sana kule cokestudio wote walimnyooshea mkono jinsi anavyoimba, ile miaka mitatu niliteseka sana
Alafu umenikumbusha ile nyimbo ya boo aloimba Victoria Kimani.....nzuri!!
Yaani mi akili yangu ilishagoma kabisa kukubali eti diamond ni mkali zaidi ya Kiba......mmmmhh hapana kwakweli japokuwa currently dai ndo ameonekana kufana sana.
Kivipi?
Sijaelewa swali