Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

1446209467260.jpg
 
Kuvote kumeanza tena?

atleast haya mambo yatatufanya tusahau..
 
Siasa kwani bado hazijaisha wandugu mkarudi kwenu
 
Hahahahahaa

Kweli dear kule ukienda unakutana na magufuli...
Ila now yote yameisha na king kama hela ameingiza na hana bifu na serekali hivyo natumaini mambo yake yatakuwa mazuri...
 
Makovu hayajaisha,haki ingetendeka ungeniona hapa zamani.

Pole sana dear...ni ngumu kumeza.
Ila sahau tuu na maisha mengine yaendelee kama kawaida..mimi pia niliumia sana na kulia kama mtoto ila nikamkabidhi Mungu kila kitu now nipo huru na freee.
Kama ni kuisoma namba tutaisoma wote ccm na UKAWA.
 
Honestly.... Ni ngumu kusahau.
Though maisha ni lazima yaendelee.
 
Pole sana dear...ni ngumu kumeza.
Ila sahau tuu na maisha mengine yaendelee kama kawaida..mimi pia niliumia sana na kulia kama mtoto ila nikamkabidhi Mungu kila kitu now nipo huru na freee.
Kama ni kuisoma namba tutaisoma wote ccm na UKAWA.

Hahah yaani kwakweli hapo tutaisoma sote maana madudu yakianza kupitishwa bungeni yataaffect kila mtu haijalishi uko na political view ipi.

I was so down kuona Alikiba naye anaisaidia CCM kupiga kampeni. Imepelekea hata rate ya kumpigia kura kwenye tuzo ikapungua
 
Back
Top Bottom