Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Jaman samsun....mimi tuonane bhanaa
CUTEb sitaki nikufanye mtoto wa watu uweweseke usiku kucha usingizi hauta upata kwa kujiuliza hivi yule ni mtu,kinyago,katuni,kibwengo,kinyamkela au sokwe, yaani nisingekuwa na vijisenti hapa town ningeteseka sana.
 
Last edited by a moderator:
CUTE b sitaki nikufanye mtoto wa watu uweweseke usiku kucha usingizi hauta upata kwa kujiuliza hivi yule ni mtu,kinyago,katuni,kibwengo,kinyamkela au sokwe, yaani nisingekuwa na vijisenti hapa town ningeteseka sana.

kumbe pesa ipo mimi walaa ukiwa na pesa wala hata siangalii sura mimi naheshimu pesa.
Na ukiwa na pesa wew ni hbizoo tayari nitafute bhanaa....au niambie upo wapi mimi nije acha woga.. sawa hb?
 
Last edited by a moderator:
Tangu nilivyoona una matege nilisha stafu kubishana na wew maana ni mara chache ukute mtu ana matege halafu ana akili nzuriii....kwa heriii.
Huna hadhi kabishane na mazezeta wenzako.
Mategeeeeeeeeee

Heeeeee!!king kiba alkua anajsifia mbele ya raic kwamba yy anajua mpira coz ana matege ile cku ya raic na wasaniii.. Kumbe matege=zezeta?kwahyo king kiba=..........!?
 
Heeeeee!!king kiba alkua anajsifia mbele ya raic kwamba yy anajua mpira coz ana matege ile cku ya raic na wasaniii.. Kumbe matege=zezeta?kwahyo king kiba=..........!?

Wewe nawe hufikirii...matege ya mpira ni tofauti na miguu yote ya kushoto...
Huyu ninayemzungumzia miguu yote ni ya kushoto imekutana hapa kwenye magoti..
 
Wewe nawe hufikirii...matege ya mpira ni tofauti na miguu yote ya kushoto...
Huyu ninayemzungumzia miguu yote ni ya kushoto imekutana hapa kwenye magoti..

Afu ana kiushuzi fulani hivi, amaiziing!
 
Wewe nawe hufikirii...matege ya mpira ni tofauti na miguu yote ya kushoto...
Huyu ninayemzungumzia miguu yote ni ya kushoto imekutana hapa kwenye magoti..

Heeeeh! Kumbe,bac kaz ya mungu haina makosa
 
Mhuuuu!
Ndio maana huishi kuyasifu maumbile ya diamond.
Ms.Lincoln wapi nimeyasifia maumbile ya DIAMOND????????? na kama unayaingizia yale ya kidoti MIMI NIMEMKARIRI YEYE MWENYEWE AKIMSIFIA THABITI KUWA NDO MWANAUME ALIYEMRIDHISHA.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom