Hahah yaani kwakweli hapo tutaisoma sote maana madudu yakianza kupitishwa bungeni yataaffect kila mtu haijalishi uko na political view ipi.
I was so down kuona Alikiba naye anaisaidia CCM kupiga kampeni. Imepelekea hata rate ya kumpigia kura kwenye tuzo ikapungua
Ila bora aliwapigia apate ulaji maana sipate picha angevyobaguliwa. Tungoje visasi kwa wasanii waliopigia ukawa