Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

uploadfromtaptalk1452196636479.jpg
 
Anakuja kutuletea zawadi ya marimba. Jamani tuache ushabiki, Mbwana Samata ametuosha sura, amefuata nyayo za Chibu. Tunamuombea na babu apate mafanikio mema naye atuoshe sura nje ya nchi, AMEEN.
 
Punguzeni urasimu kampigieni kura diamond mlete tuzo Tanzania.
Anawania tuzo ingine Nigeria, tuache urasimu taifa kwanza
 
Salama wapendwa? Naona nchi nzima imekaa mkao wa kusubiri Lupela toka kwa mwanamuziki.
Malengo ya 2015 yalitimia kwa ngoma mbili tu, ila nahisi ya 2016 yatatimia mapema kwa Lupela tu.

Ova
 
Kama siamini amini hivi?
I miss you (nadhani na wenzangu pia maana wamekuwa wakiniuliza sana eg atoto Diva Beyonce na Ms.Lincoln)
Namiss uchambuzi wako,hasa kwenye kibao na hadi video ya nagharamia.
Lupela....nasikia tu na nina hamu ya kuusikia,natumai King hatotuangusha.
Ha ha ha Haa! Nakuambia ukweli baby wangu ile video bomba sana coz character wote wamevaa uhusika wao.
Angalia pale Bella anapoletewa bill na kugundua kuwa kubwa kuliko uwezo wake. Mwangalie Alikiba alipokuwa na mtoto kwenye kochi.
Angalia dancing yao. Angalia story inavyoeleweka kirahisi inapoanza hadi kumalizika.

Ova
 
Back
Top Bottom