Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ni ujio mpya wa King just wait vry soon" K anatizama upepo maana mtu mbaya nae anaachia ngoma nyingne muda wowote tu.
Anayetazama upepo na kuweweseka ni Diamond, kumbuka baada ya Kiba kurelease Nagharamia nae akaachia Utanipenda,sasa kasikia Kiba anataka kuachia Lupela kaanza kuweweseka.
Sisi wala hatuna pressure, tunawaangalia tu mnavyobabaika.
 
man of steel himself, jeshi la mtu mmoja
#LUPELA #LOADING
 
nimewacheki sana,nawaona ni watu 'aggresive' hawa watu wanatukana sanaaa wa na kutumia lugha kali kupitiliza kuna shida gani jamani?hasa hasa instagram
 
Sasa umekuja huku kushtaki au kulalamika ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…