Sasa ni kwenda kutembea Spotify, vevo na social platform zote za kiba zenye kumuingizia pesa ili atengenezee mkwanja.
Mfano ule wimbo wake wa aje remix aliotoa sasa mwanzon kuna tangazo ukiichek kwenye account yake you tube kwahiyo ili apate pesa na wewe kama fan wa kwel wa kiba usi skip hilo tangazo . kwa sababu tangazo lake likipata view nyingi ina maana ALIKIBA atalipwa pesa kibao kulingana na mashabiki wake wanao angalia yale matangazo kwenye wimbo wake .
Naomba tutoe support ya kutosha kwa Alikiba ukifanya hivyo wewe ndiyo utakuwa shabik wa kweli kwa kumsadia kiba kupata mafanikio haya makubwa.
Na ukwel upo hiv kama kiba kakubal kuweka matangazo mwanzon mwa nyimbo zake hiyo ndiyo njia nzur zaid ya kuingiza mamilion ya pesa . lakin wimbo ukiwa na view nyingi pekee yake Huku mashabiki hamuangalii yale matangazo mwanzo wa wimbo(tangazo lina dakika 1 tu kuangalia) nawaomba sana team kiba na wote wanaopenda kaz za kiba tuvamilie account ya kiba na tuangalie matangazo yote mwanzo mwa wimbo afu baada ya wimbo ndiyo una sikiliza wimbo mtamu wa kiba