Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Basi mwambie Aje....Aje...
Duuuuh bonge la ngomaaaa.
Once again, asante King Kiba.
 
Uzuri wa Alikiba akikutolea wimbo mpya basi ujue kila kitu kitakuwa kipya kabisa. Huwezi kufananisha chochote na nyimbo zilizopita.
Uimbaji mpya, maneno ya wimbo mapya na hata idea ni mpya. Alikiba anaimba na kufundisha kutayarisha nyimbo na kuimba.
Aje ni next level wakuu, ukisikiliza mara moja tu inakukamata mazima. Ni bonge ya ngoma, halafu ya miondoko flani hivi.
Video ndo imekomesha kabisa, sijui wapiga mavuvuzela watasemaje tena na hii? Alikiba anazidi kunipa sababu za kifurahia kuwa Mtanzania.

Ova
 
Pwilo na Shardcore wametoroka kundi hali mbaya. Unatakiwa uwe jasiri kuwa shabaki wa ndovu.
 
Wakati mwaka 2016 unaanza Alikiba alisema neno moja kwenye interview zake tofauti ambalo ni 'New Year, new Kiba'.
Hatimaye historia inaandikwa May 19, 2016. Mwenye hasira na jambo hili nadhani 2016 itakuwa ni wakati wake kupungua uzito.
Bila kuiga muziki wa Naija wala kujipa jina la Kinaija, Alikiba anatrend. Kitu kitamu kitakuwa live Trace Urbun na kitastream YouTube na Facebook.
Bongo Flava katika nex level. Ni Alikiba mwenye muziki wake.

Ova
 
Back
Top Bottom