Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Kuna maajabu sana hapa ulimwenguni. Fikiria, mtu anajilazimisha kuponda kitu kizuri sana, kilichofanyika kitaalam ili tu kuburudisha nafsi yake. Haya ni mambo ya kushangaza sana, na yamenifanya nijiulize ni watu wa namna gani ambao tunajadili nao kuhusu music.
Mnaijua show aliyochapa Alikiba kwenye Koroga Festival? Mnajua akina nani walialikwa kuhudhuria ile show? Mjue kabisa kama Alex Okosi alikuwepo na alikubali uwezo wa Alikiba, msidhani kama MTV Base walikurupuka tu kujipendekeza kwa Alikiba, walipata comments za Okosi.
Ni hivi tu Alikiba alivyo hapendi masifa yasiyo na maana, anatulia tu ili wakati ukifika watu waone wenyewe. Muziki mzuri unajisema wenyewe, hauna haja ya mbwembwe nyingi, kazi inaonekana.
Wajuzi wa muziki wote wamehamaki kwa Lupela hadi wanaachia nyimbo zao ovyo ovyo ili kujaribu kuipoteza lakini ngoma bado iko palepale imesimama. Wanahangaika kusaka visingizio vingi ili kuishusha hadhi lakini hawapati sababu ya maana ya kueleweka.
Na nakuambia huu mwaka tutaheshimiana tu, maana kuna video nyingine mbili zimepigwa Hollywood zimewekwa kabatini zikisubiri muda ufike ziachiwe.

Ova
 
Lengo au maana ya video iko wazi kwamba hatuna haja ya kuwabagua Ndovu (Tembo), kwani tunaweza kucheza nao kwa furaha kama rafiki zetu, nao pia wakafurahia kutuona tukicheza mbele yao. Kwa maana ya kuifanya jamii kujenga urafiki na Ndovu na kuondoa uadui nao kwa kuwaua.
Kwa maana ya story line ya ile video, yote ni kitu kilichokuwa kikiwazwa na Alikiba na baada ya kuanza kuusikiliza wimbo wa Lupela kupitia spika za kwenye lift, aliwaza kudance na mpenzi wake kwenye hifadhi ya wanyamapori akawaza kila kitu na mwisho akaungana na Ndovu kwa kufuata barabara inakoelekea.
Lakini zaidi, tumeona muziki ulivyotumika kuwaunganisha watu. Yule jamaa wa Kizungu alikuwa anakereka kuwa kwenye lift na Alikiba na mpenzi wake kutokana na mambo yao ya ujana, na hata iliposiamishwa lift na wale wadada akakasirika zaidi, lakini muziki ulipounganishwa kwa spika za lift akaanza kubadilika na mwishowe hadi akawa akidance.

Uongo mtupu. Lupela ni wimbo wa mapenzi ya binadamu. Alishindwa kufikiri kutokana na kupitwa na umri akaamua kupiga shortcut kwa kuweka background ya ndovu akihisi watu watavutika.

Ujumbe na picha ni Bukoba na Songea kwa umbali. Lugha nyepesi, hamna kitu.
 
kwa hiyo make me sing ndo inamaanisha kwenda kuiba benki
 
Ujue
mkuu Mdakuzi bila kusahau show aliyofanya valentine ya safaricom, kwakweli nina kila sababu ya kumpenda [HASHTAG]#kingkiba[/HASHTAG]
Ujue kiba kenya anafanyaga show za bure anaitwa kwny maiventi na kwny hiyo unayoisema alizomewa vbaya mno.......plus show tatu za kiba Kenya ni sawa na show moja ya domo kubali kataa ndo uhalisia uwo ndo maana unaona kila siku ypo kenya coz show zake za kawaida sana kiingilio 500ksh
 
Uongo mtupu. Lupela ni wimbo wa mapenzi ya binadamu. Alishindwa kufikiri kutokana na kupitwa na umri akaamua kupiga shortcut kwa kuweka background ya ndovu akihisi watu watavutika.

Ujumbe na picha ni Bukoba na Songea kwa umbali. Lugha nyepesi, hamna kitu.

Mkuu mimi nazungumzia Video wewe unazungumzia audio. Vipi una tatizo la uelewa? Una ufahamu wowote kuhusu music video mkuu, nisije nikapoteza muda wangu kuzungumza na mtu asiyeelewa hata maana picha ya kwenye music video.

Ila ninachokiona kwako, ile video imekuzidi ukubwa mkuu. Pengine upeo wako wa kuelewa music video hautoshi kwenye video ya Lupela.

Ova
 
Ujue

Ujue kiba kenya anafanyaga show za bure anaitwa kwny maiventi na kwny hiyo unayoisema alizomewa vbaya mno.......plus show tatu za kiba Kenya ni sawa na show moja ya domo kubali kataa ndo uhalisia uwo ndo maana unaona kila siku ypo kenya coz show zake za kawaida sana kiingilio 500ksh

Ushawahi kwenda Kenya? Ushawahi kushuhudia show yoyote ukiwa Kenya? Unajua ukiwa na maoni au msimamo unaosukumwa na chuki binafsi unakosa nafasi ya kujifunza kwa waliofanikiwa kwa sababu tu ya chuki zako. Jitendee haki mkuu.

Ova
 
Kwa wale wanaojua quality ya video ni pamoja na graphics na mchanganyiko wa picha , ukiitazama vizuri video ya lupela na ukatazama zile background zilizotumika utagundua Kuwa kuna kipindi haziendani na wale Ma dancer , camera Kama inacheza cheza hivi (shaking ) , Ile background inatakiwa iwe still ili Ma dancer waonekane walikuwa eneo lile lakini cha ajabu kuna wakati background ina cheza cheza ( camera hazikukaa vizuri) ! Editor wa video hiyo sijui Kwa nn hakuona hilo, ni tatizo kubwa ukipeleka video Kama hiyo kwenye international media hawatakubali Kwa sababu background Ina move move bila mpangilio na hii inaweza kum boa mtazamaji hasa ukiangalia mara nyingi ...
 
Mkuu mimi nazungumzia Video wewe unazungumzia audio. Vipi una tatizo la uelewa? Una ufahamu wowote kuhusu music video mkuu, nisije nikapoteza muda wangu kuzungumza na mtu asiyeelewa hata maana picha ya kwenye music video.

Ila ninachokiona kwako, ile video imekuzidi ukubwa mkuu. Pengine upeo wako wa kuelewa music video hautoshi kwenye video ya Lupela.

Ova
Huna kitu unatumia nguvu tu. Hakuna kitu pale.

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Kwa wale wanaojua quality ya video ni pamoja na graphics na mchanganyiko wa picha , ukiitazama vizuri video ya lupela na ukatazama zile background zilizotumika utagundua Kuwa kuna kipindi haziendani na wale Ma dancer , camera Kama inacheza cheza hivi (shaking ) , Ile background inatakiwa iwe still ili Ma dancer waonekane walikuwa eneo lile lakini cha ajabu kuna wakati background ina cheza cheza ( camera hazikukaa vizuri) ! Editor wa video hiyo sijui Kwa nn hakuona hilo, ni tatizo kubwa ukipeleka video Kama hiyo kwenye international media hawatakubali Kwa sababu background Ina move move bila mpangilio na hii inaweza kum boa mtazamaji hasa ukiangalia mara nyingi ...

Ha ha ha haaaa! Hivi ndio vile visababu vya kulazimisha mkuu. Sijui kama kuna uunganishaji bora wa picha kama uliofanyika kwenye Lupela. Japo picha zote mbili zilikuwa zikitembea lakini ziliungwa vizuri sana.
Editing yake imesimama sana mkuu, matukio hayakimbizwi ovyo ovyo yanatembea vizuri na kukupa utulivu wakati wa kutazama video. Huwezi kuzungumzia Lupela ukaanza kutoa sifa kwa dancers wa ile video.
Kimsingi karibu kila kitu kiko mia katika Lupela.

Unahitaji kuingalia upya, background Ina cheza cheza sana . Kaichek upya mkuu.... Mfano angalia hapo kwenye dk 1:39 , na dk 2:22 ...seek mpaka hapo utaelewa maana ndo shaking zinakuwa kubwa then angalia video nzima
 
Back
Top Bottom