Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Mwambie aache kumwaga chini amtie mimba basi tujue kwel ni demu wake" au kiki tu
Na kwanini afanye hivyo?
Umesikia Kiba ana walakini kwenye urijali wake kama mwafulani ambaye bado hadi sasa kuna walakini?
Usichokijua kuhusu Kiba ni very smart guy,huwa hafanyi jambo kufurahisha watu wala maneno ya watu hayampi pressure.
Kwahiyo hizi mboyoyo zenu ni kazi bure.
 
Jojo si mrembo kihivyo ila ana shepu nzuri shinda Zari na Wema lakini sura na ule mdomo bado sana. Ukitaka kujuwa mademu wazuri hapa Bongo jaribu kufananisha Jojo na Rose Ndauka, Batuli, Lulu...au uliza mwanaume yeyote anayejuwa wanawake wazuri atakuambia nani mzuri kati ya hao niliokutajia kulinganisha na Jojo. Jojo is ok kwa sura ila umbo namkubali tena sana tu ila nisingependa kuhamka naye asubuhi kutokana na ile sura, si unajuwa mtu anapohamka sura inavyokuwa?
Unapojaribu kutunga uongo lakini akili yako inakataa!!!!
 
Kama ni soka tungesema king kiba anafanya mziki kifaza. ..kuna ngoma nyingi sana zimetoka za chege sijui mwanafa na fid q lakini mazungumzo ni lupela....naamini wanaompinga kiba si mashabiki wa diamond tu bali na washabiki wa musicians wengine. ..watu wamewekeza pesa na muda mwingi katika music lakini hauwalipi. ...kiba katika muda mchache kafaidika sana lazma utumie jicho la tatu kuona hilo
 
#sallam_sk
huyu manager wa diamond ana vurugu sana...
ona alichokiandika sasa..!
majirani zetu...
tukutane youtube tar 12..!
 
Attachments

  • 1455102889313.jpg
    1455102889313.jpg
    53.4 KB · Views: 29
Hivi Diamond anawalipa watu kumchafua kiba kila siku??? Maana watu wapo radhi kuandika lolote baya kuhusu Ali Kiba kila siku mpk inashangaza.
 
Kama ni soka tungesema king kiba anafanya mziki kifaza. ..kuna ngoma nyingi sana zimetoka za chege sijui mwanafa na fid q lakini mazungumzo ni lupela....naamini wanaompinga kiba si mashabiki wa diamond tu bali na washabiki wa musicians wengine. ..watu wamewekeza pesa na muda mwingi katika music lakini hauwalipi. ...kiba katika muda mchache kafaidika sana lazma utumie jicho la tatu kuona hilo
akiwemo babu tale na fella ambao wasanii wao wengine kila siku video south lakini wapi, nadhani ben pol atakuwa kashaelewa somo kuwa alikuwa anacheza na mtu sio size yake pumbav
 
akiwemo babu tale na fella ambao wasanii wao wengine kila siku video south lakini wapi, nadhani ben pol atakuwa kashaelewa somo kuwa alikuwa anacheza na mtu sio size yake pumbav
Achana na yule teja alikuwa anatafuta kick tu,na Kiba alivyo smart wala hakumjibu.
 
Kama ni soka tungesema king kiba anafanya mziki kifaza. ..kuna ngoma nyingi sana zimetoka za chege sijui mwanafa na fid q lakini mazungumzo ni lupela....naamini wanaompinga kiba si mashabiki wa diamond tu bali na washabiki wa musicians wengine. ..watu wamewekeza pesa na muda mwingi katika music lakini hauwalipi. ...kiba katika muda mchache kafaidika sana lazma utumie jicho la tatu kuona hilo
Bila kutengeneza ukaribu na wenye chuki na simba unadhani nani angemsikia¿???..
 
hivi mashabiki wote wa ali kiba ndo mko hivi...
sasa huyu BODYGUARD sijui ana kosa gani..!!!
 
Attachments

  • 1455155490500.jpg
    1455155490500.jpg
    64.8 KB · Views: 26
  • 1455155513794.jpg
    1455155513794.jpg
    57.7 KB · Views: 33
huyo homa ya dengue ni MSUMBUFU vibaya mno Nifah..!
Mbona hujaleta post watu wanazomponda KIBA akiwemo huyo manager wako salaam na dulla square au dulla square humuoni anavyomponda KIBA acha mambo za ajabu wewe
 
Mbona hujaleta post watu wanazomponda KIBA akiwemo huyo manager wako salaam na dulla square au dulla square humuoni anavyomponda KIBA acha mambo za ajabu wewe
nisaidie bradha...
utakua haujafanya makosa kama utazileta hizo post pindi unapoziona...
ila si kuniPANGA nipost nini..!!!
piah hiyo ni POST ambayo imenichekesha sana jana,so nimeileta huku just for fun...
nothing more..!
 
Back
Top Bottom