Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameshairudisha celebrities hii thread.
Hicho ni kipande cha mwisho,kwa maana hiyo umeangalia video yote.![]()
Ndio nilichikiona
lafa huyo anafikiri wote tuna akili kama zake, ngoja nicheki #lupela kwanza nitarudiWameshairudisha celebrities hii thread.
Naona jana tulivyomuita Max imesaidia.
Twende zetu kakake......lafa huyo anafikiri wote tuna akili kama zake, ngoja nicheki #lupela kwanza nitarudi
Hahahaha nakweli ni ikwel mchungu.pole ndugu...
lakini kiukweli lile tangazo ni kali kushinda video ya LUPELA...
huu ni ukweli MCHUNGU..!
naona unakibarua kizito....Kakuangusha wewe na nani?... Hebu laleni mbele huko.
Kiba anatusikiliza mashabiki wake tu.
Weeeeeeee" am fan of goodmusic tht all i cn say...ila balozi hapa daaah..sema video za kulipiwa nazo masharti kibao..weka Tembo [emoji2] [emoji2] haha..nilichokipenda ni huyo mwanamke tu na high heels zake anajua kuyarudi.Hicho ni kipande cha mwisho,kwa maana hiyo umeangalia video yote.
Wewe ni secret admire wa Kiba.
You are smart,loyal and I like it.
Sio mwanamke tu,kwenye dance wote wameua akiwemo na Kiba mwenyewe.Weeeeeeee" am fan of goodmusic tht all i cn say...ila balozi hapa daaah..sema video za kulipiwa nazo masharti kibao..weka Tembo [emoji2] [emoji2] haha..nilichokipenda ni huyo mwanamke tu na high heels zake anajua kuyarudi.
sema jirani kweli we kindakindaki huoni kasoro
Mod sio mmoja tu mkuu...ni zaidi ya mmoja kwa jukwaa moja.
Ali Kiba keep it upMod sio mmoja tu mkuu...ni zaidi ya mmoja kwa jukwaa moja.
Vipi tena, umefanyiwa figisufigisu nini peterchoka, sema tukusaidie
na hautokuja kuziona..!Sio mwanamke tu,kwenye dance wote wameua akiwemo na Kiba mwenyewe.
Sikulazimishi....ngoja nikoshe roho yangu mie.
Kiba hajawahi kuniangusha,hizo kasoro mie sijawahi kuziona pia.
Kwa ufundi ule wa Kiba?na hautokuja kuziona..!
Ni nani aliyekuuliza?Wadau walijitahidi sana kumbeba huyu msanii kwa kiasi walifanikiwa, lakini ukweli unabaki pale pale kuwa Kiba si mwanamuziki bali mbabaishaji tu na ndiyo maana kaporomoka ile mbaya kabakia kula mizoga ya Mondi ili apate kick
Tangu Kiba arejee nilishawahi kumwelewa kwenye wimbo mmoja pekee ! Nagharamia! Huu wimbo hata ukiingia topten ya Mtv au hata Soundcity natembea uchiNi nani aliyekuuliza?
Halafu ulivyo na chuki kali dhidi yake hadi unajichoresha tu....
Eti Ali Kiba sio mwanamuziki?
Nimecheka sana!
So what?Tangu Kiba arejee nilishawahi kumwelewa kwenye wimbo mmoja pekee ! Nagharamia! Huu wimbo hata ukiingia topten ya Mtv au hata Soundcity natembea uchi
Kuwa mkweli acha kusifia mpaka ujinga! Na wewe soon tutaanza kukuona mjinga kwa kusifia ujingaSo what?
So what?Kuwa mkweli acha kusifia mpaka ujinga! Na wewe soon tutaanza kukuona mjinga kwa kusifia ujinga