Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Mod sio mmoja tu mkuu...ni zaidi ya mmoja kwa jukwaa moja.
Vipi tena, umefanyiwa figisufigisu nini peterchoka, sema tukusaidie
kuna kipindi huu uzi ulikuwa unatrend sana wakaona wawe wanafuta comment zetu, watu wakaishiwa pozi hadi sasa uzi upo mdogomdogo, wakaona haitoshi uzi wakaupeleka entertainment mpaka juzi tukaongea na mkulu wakaurudisha celebrity, hawa mods kama ni wanaume itakuwa wanatumia kichwa cha chini kufikiri kama wanawake sijui wanafikiri kwa kutumia nini
 
Ni nani aliyekuuliza?
Halafu ulivyo na chuki kali dhidi yake hadi unajichoresha tu....
Eti Ali Kiba sio mwanamuziki?
Nimecheka sana!

Kuimba Karaoke doesn't mean kuwa wewe ni mwanamuziki, wengine tunaimba sana Karaoke bar lakini hatujiiti wanamuziki, tunaimba kujifurahisha tu na Kiba is like this isipokuwa yeye alibahatika kuapata watu wa kumbeba. Hivi Nifah unajuwa Kiba mwenyewe anajitambua kuwa si mwanamuziki na ndiyo maana anajitahidi kwa juhudi zote kutafuta mizoga ya Diamod ili wamweke juu.
 
kwahiyo kumbe demu akitembea na jamaa fulani anakuwa mzoga, kuwa na adabu kwa dada zetu kijana, hata mama yako ashaliwa na njemba kadhaa kabla ya babaako, naye ni mzoga?
 
Hebu tuachane na mziki kwanza.

Hivi kuna mzoga kama Zari?Jizee alilolikuta na njemba 3 utathubutu kumfananisha na mrembo Jojo?
Uwe basi unaangalia cha kusema maana unatupa wengine kazi za kujiuliza upopoma wako.
 
yaani dadaake nasikiliza mahojiano ya kiba hapa siamini masikio yangu
Mie pia nilisikiliza kidogo kakae...
Kwamba ngoma aliifanya Abby Dady kisha ikamaliziwa na jamaa wa nje.
Mwisho akasema baada ya maoni kuwa mengi nae ameanza kuusikiliza na kuupenda wimbo wa Lupela....so amazing!

Haya niambie kakake wewe umeokota nini kwenye interview yake ile?
 
jamaa yupo poa sana, halafu kiba sio muongeaji so watu wanahisi kama anaringa vile, leo lupela tour inaendelea efm saa 6-9 na dina, watu wenye kazi zao kina adam wameelewa kazi nashangaa mtu anaandika tu mbovu anataka tumuelewe
 
Halafu ngoja nikatafute alichokisema Adam Juma.
Hicho kipindi sio cha kukosa leo kabisa.
 
jamaa yupo poa sana, halafu kiba sio muongeaji so watu wanahisi kama anaringa vile, leo lupela tour inaendelea efm saa 6-9 na dina, watu wenye kazi zao kina adam wameelewa kazi nashangaa mtu anaandika tu mbovu anataka tumuelewe
Unajua nini kaka kuna watu wa chuki binafsi tu na mshikaji. Hii ngoma Kali sana.
 
Nadhani hujamuelewa muuzasura....anamaanisha kuwa jamaa hajadeliver bado inavyotakiwa
Nani aliyekuambia sijamuelewa?
Hivi mbona watu mnapenda kujifanya vimbelembele na wajuaji sana?
It's kinda boring!
 
kwahiyo kumbe demu akitembea na jamaa fulani anakuwa mzoga, kuwa na adabu kwa dada zetu kijana, hata mama yako ashaliwa na njemba kadhaa kabla ya babaako, naye ni mzoga?

Mama yangu alikuwa bikra kabla hajaolewa na baba yangu.
 
Hebu tuachane na mziki kwanza.

Hivi kuna mzoga kama Zari?Jizee alilolikuta na njemba 3 utathubutu kumfananisha na mrembo Jojo?
Uwe basi unaangalia cha kusema maana unatupa wengine kazi za kujiuliza upopoma wako.

Jojo si mrembo kihivyo ila ana shepu nzuri shinda Zari na Wema lakini sura na ule mdomo bado sana. Ukitaka kujuwa mademu wazuri hapa Bongo jaribu kufananisha Jojo na Rose Ndauka, Batuli, Lulu...au uliza mwanaume yeyote anayejuwa wanawake wazuri atakuambia nani mzuri kati ya hao niliokutajia kulinganisha na Jojo. Jojo is ok kwa sura ila umbo namkubali tena sana tu ila nisingependa kuhamka naye asubuhi kutokana na ile sura, si unajuwa mtu anapohamka sura inavyokuwa?
 
Hebu tuachane na mziki kwanza.

Hivi kuna mzoga kama Zari?Jizee alilolikuta na njemba 3 utathubutu kumfananisha na mrembo Jojo?
Uwe basi unaangalia cha kusema maana unatupa wengine kazi za kujiuliza upopoma wako.
Mwambie aache kumwaga chini amtie mimba basi tujue kwel ni demu wake" au kiki tu
 
Back
Top Bottom