Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,666
- 12,178
kuna kipindi huu uzi ulikuwa unatrend sana wakaona wawe wanafuta comment zetu, watu wakaishiwa pozi hadi sasa uzi upo mdogomdogo, wakaona haitoshi uzi wakaupeleka entertainment mpaka juzi tukaongea na mkulu wakaurudisha celebrity, hawa mods kama ni wanaume itakuwa wanatumia kichwa cha chini kufikiri kama wanawake sijui wanafikiri kwa kutumia niniMod sio mmoja tu mkuu...ni zaidi ya mmoja kwa jukwaa moja.
Vipi tena, umefanyiwa figisufigisu nini peterchoka, sema tukusaidie