Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

f5bb47bc4d69c547550d11a1e7ced54f.jpg

Ndio nilichikiona
Hicho ni kipande cha mwisho,kwa maana hiyo umeangalia video yote.

Wewe ni secret admire wa Kiba.
You are smart,loyal and I like it.
 
Vijana wa Diamond ni wepesi sana wa kupanic, hivi huku wanakuja kufanya nini. Hawana chochote zaidi ya kubwabwaja midomo tu.
 
pole ndugu...
lakini kiukweli lile tangazo ni kali kushinda video ya LUPELA...
huu ni ukweli MCHUNGU..!
Hahahaha nakweli ni ikwel mchungu.
Lle tangazo lngekua kama dakka 2 hv mtu angechukulia tuzo...
Lupela siielew kabsa..tena vdio ndo hewa.
 
Hicho ni kipande cha mwisho,kwa maana hiyo umeangalia video yote.

Wewe ni secret admire wa Kiba.
You are smart,loyal and I like it.
Weeeeeeee" am fan of goodmusic tht all i cn say...ila balozi hapa daaah..sema video za kulipiwa nazo masharti kibao..weka Tembo [emoji2] [emoji2] haha..nilichokipenda ni huyo mwanamke tu na high heels zake anajua kuyarudi.
sema jirani kweli we kindakindaki huoni kasoro
 
Sio mwanamke tu,kwenye dance wote wameua akiwemo na Kiba mwenyewe.
Sikulazimishi....ngoja nikoshe roho yangu mie.
Kiba hajawahi kuniangusha,hizo kasoro mie sijawahi kuziona pia.
 
na hautokuja kuziona..!
 
Wadau walijitahidi sana kumbeba huyu msanii kwa kiasi walifanikiwa, lakini ukweli unabaki pale pale kuwa Kiba si mwanamuziki bali mbabaishaji tu na ndiyo maana kaporomoka ile mbaya kabakia kula mizoga ya Mondi ili apate kick
 
Ni nani aliyekuuliza?
Halafu ulivyo na chuki kali dhidi yake hadi unajichoresha tu....
Eti Ali Kiba sio mwanamuziki?
Nimecheka sana!
 
Tangu Kiba arejee nilishawahi kumwelewa kwenye wimbo mmoja pekee ! Nagharamia! Huu wimbo hata ukiingia topten ya Mtv au hata Soundcity natembea uchi
 
Back
Top Bottom