Ali Kiba Fans' Special Thread...

sio bongo ya sisi,na sio style ya muziki wa sasa wa bongo fleva hakuna nyio inayolast longer zote baada ya miezi miwili tu tunaziita [HASHTAG]#zilipendwa[/HASHTAG]
Nyimbo za Ally mbona mpk leo ni nzuri na zinapendeza kusikiza? mfano kuna wimbo ya dimond nimeusahau kidgo ni mzuri mpk leo na hautaisha uzuri leo wala kesho ni wimbo bora ever. Huo wimbo hata christian bella aliurudia. So zipo nzuri tuu za kudumu sasa hapo ni ww na masikio yako
 
Nilikuwa nimemaind hatoi ngoma Ila kwa ngoma hii AME ni seduce aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matonya kaona atokee via wcb [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa mbona ule wimbo wa Salome ndio copy ndio maana alimfata Saida. Sasa Zilipendwa kacopy jina au beat?
 
Tatizo uteam umewajaa wanajifanya vipofu,,laki ukweli lazima wanaujua alaa
 
Wakae watulie sio kutoa kila siku ,,bit zile zile ,idea zile zile ,,watu saba wanashindana na mtu mmoja khaa na kawatoa nock out
Watu saba wametumia dk 5 kuuzima wimbo wa dk 3 wa mtu mmoja but ndo kwanza unazid kukimbiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…