Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasubiria views you tube
Nyimbo za Ally mbona mpk leo ni nzuri na zinapendeza kusikiza? mfano kuna wimbo ya dimond nimeusahau kidgo ni mzuri mpk leo na hautaisha uzuri leo wala kesho ni wimbo bora ever. Huo wimbo hata christian bella aliurudia. So zipo nzuri tuu za kudumu sasa hapo ni ww na masikio yakosio bongo ya sisi,na sio style ya muziki wa sasa wa bongo fleva hakuna nyio inayolast longer zote baada ya miezi miwili tu tunaziita [HASHTAG]#zilipendwa[/HASHTAG]
Kamata mwiiiiziii meen.je ushawahi sikia nyimbo ngapi zenye idea ya mtu ku salitiwa na mpnz, au mtu kumuimbia au kumsifia mpnz wke anampenda?
Sent using Jamii Forums mobile app
Vuta kitanda ulale kabisa.View attachment 575317 na badooView attachment 575318 mwenye nyimbo Sasa
Nilikuwa nimemaind hatoi ngoma Ila kwa ngoma hii AME ni seduce aiseeeKiba hua anakera sana anavyokaa kimya ila sasa akidondosha kitu mnasahau upumbavu wake wa mwaka mzima,Man Walter anajua sana kutengeneza midundo aiseeeee ukisiliza seduce me na utaniau ya Jux utanielewa kuna upekee wa hali ya juu kwenye mikono yake napenda muziki usiokua na vurumai hii seduce me inaenda kumuweka Kiba dawati la mbele zaidi kwenye kipindi cha hesabu anaonyesha anajiamini na anajua anachokifanya.
Zilipendwa naona kama KAMBI RASMI YA UPINZANI wamepanick ivi badala ya kuja na fire extingusher kwenye moto wamebeba madumu ya petrol.
Amekuwa Mboto na yule erick mond kuimba nyimbo za wasaniiJe utanipenda= Mike T
Je utanipendaga= Mondi
Chambua kama karanga= Saida
Chambua kama karanga= Mondi
Zilipendwa= Matonya
Zilipendwa= Mondi
...... Kwisha kazi
Ubunifu umefika mwisho
Vuta kitanda ulale kabisa.
Ahahaaaa vuta kitanda ulale dodiView attachment 575327 tapika kabisa
Tatizo uteam umewajaa wanajifanya vipofu,,laki ukweli lazima wanaujua alaaNyimbo za Ally mbona mpk leo ni nzuri na zinapendeza kusikiza? mfano kuna wimbo ya dimond nimeusahau kidgo ni mzuri mpk leo na hautaisha uzuri leo wala kesho ni wimbo bora ever. Huo wimbo hata christian bella aliurudia. So zipo nzuri tuu za kudumu sasa hapo ni ww na masikio yako
haya mapovu tumeshayazoea kwa wasanii wengi mwisho wa siku yanaisha na hatujui yanaishiaga vipi watu wanaendelea na maisha yao.....
Wakae watulie sio kutoa kila siku ,,bit zile zile ,idea zile zile ,,watu saba wanashindana na mtu mmoja khaa na kawatoa nock outUbunifu umefika mwisho
Watu saba wametumia dk 5 kuuzima wimbo wa dk 3 wa mtu mmoja but ndo kwanza unazid kukimbizaWakae watulie sio kutoa kila siku ,,bit zile zile ,idea zile zile ,,watu saba wanashindana na mtu mmoja khaa na kawatoa nock out
Ally ni balaaWatu saba wametumia dk 5 kuuzima wimbo wa dk 3 wa mtu mmoja but ndo kwanza unazid kukimbiza
ile video shoot zke na reflect zke ni za video ya Dj snake ft Justin beiber Let me love you kilichobadilika ni kuwa kuna vipande wame vichomoa tu
Sent using Jamii Forums mobile app