Ali Kiba Fans' Special Thread...

Babu mbea na muongo aliyekubuhu tena mzushi ndo mana ana viswaga vya kibabu

Mhhh shoga sikuambii kitu tena kuhusu babu baby ako kaniita mchonganishi...isijekua nampeperushia ndege bureee
 
Huyo mshamba hata kununuwa single ya domo Mkito anashindwa anataka member wengine wanunuwe ndio waweke kwenye uzi wao.

Hahaaa babu hajui hata kuweka picha hapa JF alafu nashangaa yule mjinga aliyekuja kunitukana hapa eti kisa nilisema sijui ku screen short...mbona asimseme babu yake?alilia lia hakuna aliyeweza kumuelekeza masikini hadi nikamuonea huruma
 
Umeeleweka kabisa...safi sana
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa mpambano ni mkali hatariii...nani amabaye hataki???

Mpendwa hii kitu mpaka mtaa wa pili imewachanganya na kuwauma sana aisee!!,Kiba anatisha sana,kwa mtindo huu hata nikiitwa shabiki chapati sijali katu wala sijutii kuwa shabiki wa Kiba napenda kazi zake hataree,Ally mpole sanaa!
 
True dat. .yule mtoto yale ndo maisha aliyoyachagua mwisho wa siku kila mwanaume hapa town atakuwa shemeji yake maana wema somo la kukataa mwanaume ana F
 
True dat. .yule mtoto yale ndo maisha aliyoyachagua mwisho wa siku kila mwanaume hapa town atakuwa shemeji yake maana wema somo la kukataa mwanaume ana F

Jamanii,usinambiee!so Domo pale wala hakupata shida?
 
Mpendwa hii kitu mpaka mtaa wa pili imewachanganya na kuwauma sana aisee!!,Kiba anatisha sana,kwa mtindo huu hata nikiitwa shabiki chapati sijali katu wala sijutii kuwa shabiki wa Kiba napenda kazi zake hataree,Ally mpole sanaa!

Haha haaaa mimi hadi nimekua na maadaui chungu nzima humu tokea niweke hadharani msimamo wangu wa kumpenda Kiba....uwiiii watu wananichukia hatari,I don't care nyie tu mnatosha
 
ukiwa na dada hukosi shemeji atulize mshono dogo naseeb watu wapige mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…