Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Huyo mshamba hata kununuwa single ya domo Mkito anashindwa anataka member wengine wanunuwe ndio waweke kwenye uzi wao.

Hahaaa babu hajui hata kuweka picha hapa JF alafu nashangaa yule mjinga aliyekuja kunitukana hapa eti kisa nilisema sijui ku screen short...mbona asimseme babu yake?alilia lia hakuna aliyeweza kumuelekeza masikini hadi nikamuonea huruma
 
Wapendwa uongozi wa JF officialy wana taarifa ya zawadi hii na Moderator ndio atahusika kumtangaza na kumtumia Ally Kiba fan atakayebahatika zawadi ya kifurushi,na kifurushi chenyewe ni hicho namba 2 cha mwezi. Hiyo ni kwa wale tunaotumia airtel kama upo mtandao mwingine utarushiwa thamani sawa na utajiju hukohuko na mtandao wako.

Nadhani nimeeleweka.

Umeeleweka kabisa...safi sana
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa mpambano ni mkali hatariii...nani amabaye hataki???

Mpendwa hii kitu mpaka mtaa wa pili imewachanganya na kuwauma sana aisee!!,Kiba anatisha sana,kwa mtindo huu hata nikiitwa shabiki chapati sijali katu wala sijutii kuwa shabiki wa Kiba napenda kazi zake hataree,Ally mpole sanaa!
 
Unajua Petit Man ni rafiki mkubwa wa Chalz Baba, na alianza kuwa karibu na Wema alipokuwa mpenzi wa Chalz Baba. Sasa ile hali imemfanya Nassib asiwe na amani na Petit Man.
Sasa Petit Man kazidi kumtia hasira Nassib kwa kumgongea dada ake, na nasikia kampiga mimba ndo akalamishwa amuoe, ilipopangwa tarehe ya harusi tu Nassib akaondoka Bongo ili asihudhurie.
Ova

True dat. .yule mtoto yale ndo maisha aliyoyachagua mwisho wa siku kila mwanaume hapa town atakuwa shemeji yake maana wema somo la kukataa mwanaume ana F
 
True dat. .yule mtoto yale ndo maisha aliyoyachagua mwisho wa siku kila mwanaume hapa town atakuwa shemeji yake maana wema somo la kukataa mwanaume ana F

Jamanii,usinambiee!so Domo pale wala hakupata shida?
 
Mpendwa hii kitu mpaka mtaa wa pili imewachanganya na kuwauma sana aisee!!,Kiba anatisha sana,kwa mtindo huu hata nikiitwa shabiki chapati sijali katu wala sijutii kuwa shabiki wa Kiba napenda kazi zake hataree,Ally mpole sanaa!

Haha haaaa mimi hadi nimekua na maadaui chungu nzima humu tokea niweke hadharani msimamo wangu wa kumpenda Kiba....uwiiii watu wananichukia hatari,I don't care nyie tu mnatosha
 
Unajua Petit Man ni rafiki mkubwa wa Chalz Baba, na alianza kuwa karibu na Wema alipokuwa mpenzi wa Chalz Baba. Sasa ile hali imemfanya Nassib asiwe na amani na Petit Man.
Sasa Petit Man kazidi kumtia hasira Nassib kwa kumgongea dada ake, na nasikia kampiga mimba ndo akalamishwa amuoe, ilipopangwa tarehe ya harusi tu Nassib akaondoka Bongo ili asihudhurie.
Ova

ukiwa na dada hukosi shemeji atulize mshono dogo naseeb watu wapige mambo
 
Back
Top Bottom