Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Hahahaaaaa usinikumbushe hiyo zawadi kutoka kwa Mungu jamani nilikua nimeshasahau....

mi siwaelewi mbona daimond anadiscussiwa sana mi binafsi mara nyingi nyuzi specialy kumsifia dai huwa siingii maana staki niwaharibie pozi watu wake
asa na wao watuache hata kwa huu uzi
hatukatai dai ana mafanikio ya yake
na sie tuacheni tumshauri kiba
wao wanavyompromoti dai ina maana kibaya chajitembeza?
 
Duu naona ni mtifuano mkali hapa!
Mimi nahitaji wote Diamond na Alikiba waendelee kubaka kwenye peak na waendelee kuwapa burudani wanao wapenda!

Lakini tusikubali mmoja kati yao kuporomoka kimziki bali tuhakikishe wote hawapotei kwa kuwashauri chakufanya kwenye muziki wao na si kuwakatisha tamaa!

Mimi naamini kabisa Alikiba hajafurahishwa na kuzomewa kwa Diamond na wala Diamond hawezi kufurahi Kiba kuzomewa Bali huu ni mtifuano wa Mashabiki tuu!

Me ningependa zaidi ili jambo kama lingekuwa la kibiashara zaidi na Diamond na Kiba wakapiga hela ... unaonaje inaandaliwa live show ya Diamond na Kiba pale Leaders Club na kiingilio kinakuwa 20,000?

Sitegemei Diamond kukata tamaa kwaajili ya ile zomezomea au Kiba kubweteka kwaajili ya zile shangwe bali wote wanatakiwa kukaza buti!

Mimi huu upinzani wa Kiba na Diamond napenda uendelee ili uwape changa moto kwenye kuboresha muziki wao na wasibweteke lakini sipendi watu wafikie kutoana macho kisa D au A!

Mi nafikiri ni wakati kwa Alikiba kuji brand kama msanii kama mwenzie Diamond anavyo Fanya!

Kuanzia mavazi na hadi maandalizi kwenye show zake na wote waache play back!
.........

Nimepata nafasi ya kusikiliza wimbo mpya wa Mwana FA feat Alikiba -Kiboko yangu.
Hakika Alikiba ana sauti nzuri sana kapiga zinga la chorus...duuu hatari

hizi ndo points sasa
 
mi siwaelewi mbona daimond anadiscussiwa sana mi binafsi mara nyingi nyuzi specialy kumsifia dai huwa siingii maana staki niwaharibie pozi watu wake
asa na wao watuache hata kwa huu uzi
hatukatai dai ana mafanikio ya yake
na sie tuacheni tumshauri kiba
wao wanavyompromoti dai ina maana kibaya chajitembeza?

Mbona maushauri hamtoi sasaa,,
 
kwani alivyosema amekuja kuchukua kiti chake alimpaga nani amshikie???

Tulikificha stoo ndo kikapata na vumbi.....!!! Mana ndomo alikua anakililia sana!!! Alilia na mengi,akapatwa na mawazo,akajisifu kuwa yeye ni number one ivo tumpe kiti,akalalama eti tatizo kwao mbagala,akaondoka akasema atarejea,akanambia atanihonga Pete,nikamkatalia akasema eti moyo wake umemponza,akajamdogomdogo ili akiibe,lakini alivofika akangusha madumu yake tukaskia bum bum.... Toka hapo tukastukia tukamwambia mfalme njoo tunakuletea kiti chako......... Umeelewa kwenye kiti kilikuwa?????
 
Kazi hipo mwaka huu
Naona mtifuano umeamia hadi kwenye kupakua nyimbo ili kumsikiliza Alikiba!
Wimbo mpya MwanaFA feat Alikiba -kiboko yangu
Watu wamepakua hadi website imestuck! Tuna hitaji muwashabikie wasanii na mnunue kazi zao kama namna hii!
 
Attachments

  • 1413993308989.jpg
    1413993308989.jpg
    33 KB · Views: 143
Watanzania wengi hatujui mziki mzuri,ally k yko talented anaimba good music bt diamond anatumia nguvu kubwa sana kufika alipo,wote wanatoa good music bt kwa njia tofauti,iko wazi ally k ni mjuzi katika uimbaji,sauti nzuri,!me nawasupport wote ila ally k hatumii nguvu kubwa sana kujtangaza,sijui km anaskendo!mshaurin awekeze kwenye music ajitangaze,!DIAMOND N ALLY K NAWAKUBALI WOTE
 
Jamani,Ally K,nomer sana hakika yeye kioo cha jamii!mwanamme haswaa sio lazima mambo yake ya chumbani ayaweke hadharan!hapo tuuu nampendea!Misifa ya kijinga mara oo mara sijui nini yani hana!Hana shombo wala shobo!yani mimi penda sana yeye,atafute management na awe serious na kazi,achukulie mziki kama office atafanikiwa sana,tena asali sana,mganga wa yule domo asije akamchezea!
 
Tulikificha stoo ndo kikapata na vumbi.....!!! Mana ndomo alikua anakililia sana!!! Alilia na mengi,akapatwa na mawazo,akajisifu kuwa yeye ni number one ivo tumpe kiti,akalalama eti tatizo kwao mbagala,akaondoka akasema atarejea,akanambia atanihonga Pete,nikamkatalia akasema eti moyo wake umemponza,akajamdogomdogo ili akiibe,lakini alivofika akangusha madumu yake tukaskia bum bum.... Toka hapo tukastukia tukamwambia mfalme njoo tunakuletea kiti chako......... Umeelewa kwenye kiti kilikuwa?????

Hahahaaaa aisee una akili sana dada...
 
mi siwaelewi mbona daimond anadiscussiwa sana mi binafsi mara nyingi nyuzi specialy kumsifia dai huwa siingii maana staki niwaharibie pozi watu wake
asa na wao watuache hata kwa huu uzi
hatukatai dai ana mafanikio ya yake
na sie tuacheni tumshauri kiba
wao wanavyompromoti dai ina maana kibaya chajitembeza?

Watu hawaelewi unajua,hii sio team km za insta za kusapot bifu za kijinga,nadhani matola kaanzsha ili kumsapoti ally k kuzungumza yao,kujenga sio kutok blah blah km za insta,
 
Jamani,Ally K,nomer sana hakika yeye kioo cha jamii!mwanamme haswaa sio lazima mambo yake ya chumbani ayaweke hadharan!hapo tuuu nampendea!Misifa ya kijinga mara oo mara sijui nini yani hana!Hana shombo wala shobo!yani mimi penda sana yeye,atafute management na awe serious na kazi,achukulie mziki kama office atafanikiwa sana,tena asali sana,mganga wa yule domo asije akamchezea!

Kuhusu kusali usijali shosti...kaka anasali yule hadi namuogopa...ndio maana yule anashindwa kummaliza
 
Awajali fans wake wote bila kubagua, the guy gonna shine pia atumie mapungufu ya washindani wake
 
Aiseee team Ndomo a.k.a boooh mtupishe hapa jukwaani tumshauri ndg yetu Ally K a.k.a talented artist.
Kuna thread nying za Ndomo nenden huko mkaandike.
 
Watu hawaelewi unajua,hii sio team km za insta za kusapot bifu za kijinga,nadhani matola kaanzsha ili kumsapoti ally k kuzungumza yao,kujenga sio kutok blah blah km za insta,

Swadakta....sasa hao wanaokuja kutuchefua huku ndio wanataka kuiharibu nia haswa ya muanzilishi wa huu uzi
 
Back
Top Bottom