Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Mwee jamaniii....kwa hiyo chafya hapigi?...lol
Afadhal chafya je kujamba inakuwajeee yarabii inabidi masofa yetu tuyawekee lailon ili yasilowane maana hili ni njanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwee jamaniii....kwa hiyo chafya hapigi?...lol
Eeeeee uuuwiiii basi China atakua kaenda kufanya surgery ya mku...... eti hhhhhaaaaaaaaa
Haya yamwage usafishike koo we ni rafiki yangu sitaki ubanwe kifua halaf si unajua madokta wa bongo?
Aku mie kifua chafu ki swaafi kabisa,ningekua mimi ndio ninayechokoza ungesema hivyo lakini nachokozwa.....
Na kwenye k mana alikua anatumia sabuni ya kuifanya tight yeye twenty four seven na pedi lake
Haya yamwage usafishike koo we ni rafiki yangu sitaki ubanwe kifua halaf si unajua madokta wa bongo?
Na kwenye k mana alikua anatumia sabuni ya kuifanya tight yeye twenty four seven na pedi lake
Jamani naona hakuna aliyeweza wala kuthubutu kutibua 'nyongo' yangu hadi sasa hivi...
Anyways...huu ni ushindani wa kutoa stress tu I am not serious ....
Naomba turudi kwenye content hasa ya hii thread na sio umbea jamani!!!!
Khaa watu wana mambo hapa mjini...yani mtu usimamishe mishipa ya kiss me kisa Diamond na Ali Kiba...khaaaa....
Hahahaaaaa bado sanaaaa....
Niliyemchefua pole yake...Muda wa kujibizana sinaaa....
Kajifunze kwanza kuandika ndio uje hapa sawa Mnyaki tozi
Kama wewe ulivoenda tuition kabla ya kujiunga jf....
Ila muda wa kuandika unao hhhhhaaaaaaaa
Ulivyosema hiyo misabuni umenikumbusha kuna mtu katolewa bikra tatuuu....mjini kazi jamani...
Umemuiga mnyuki kuandika sasa na wewee
Ila muda wa kuandika unao hhhhhaaaaaaaa
Saaanaaa, naandika kwa raha zangu, anyechomwa mie simooo...! Hahahaaaaa!
Ulivoenda ----ulivyoenda
Taratibu tu utanielewa
Hii thread ishaisha we tuanze umbea tu hapa
Hii ndio habariii sasa hebu nipe kaumbeyaa sasa pedi au pampasi ped itazuia ninii