Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

View attachment 196708 1414355463686.jpg

Team kibakuli mko bize kupost utumbo JF mmesahau kwenda kuzomea coco beach matokea yake ameshangiliwa mwanzo mwisho.

Au bajeti ya kukodia Costa haikupatikana .?
 
Chibu chibu katajwa na channel
O kuwa kati ya wanamuziki 10 Afrika waliochangia kubadili
Muziki wa Afrika! Wakat mnamzomea ye anapata respect teh teh teh
 
Diamond mwenyewe anaijua habar ya kiba,ndo maana akiwepo hasogei.
 
Hatulali wewe....vijijini walale kama kuku na sie wa mjini tulale???
 
Im in a mission to end this Dai Kiba shts,,,

and its gong to end.
 
Wajinga hao mtu akiendelea kdogo tu mnaanza yenu......Diamond ur a star.......Thomaaaaaaaaas
 
Hata picha zinaonesha kuwa watu hawakuwa wakimshangilia huyo Diamond. Wamemkodolea macho tu, licha ya kwamba sipo Dar, taarifa za uhakika nilizonazo zinasema alifunikwa pia na Joh Makini huko Coco Beach. Na bado.
Ova
 
Watu walikuwa wanashangaa Domo bakuli we unasema wanatoa shangwe..? Wengine wanashangaa kuhusu tabia yake mpya ya kubinua ta.ko....
 
Swali langu dogo. Kwani ustar wa kiba unategemea anguko la diamond? Kwani hatuwezi kuwa na stars kumi?
 
Ngoja nikujibu mrembo King'asti kwa niaba ya wenzio woooote wanaouliza hilo swali...

Hivi wakati Ali Kiba ana hit na cinderella,nakshi nakshi,dushelele n.k alitegemea anguko la nani?alitoka kivyake tena bila hata ya kutegemea skendo tulimjua na kumpenda sana...sasa iweje leo ategemee 'anguko' la diamond?kwa hiyo sasa mtu asitoe wimbo wake kisa kuna diamond?wenyewe wala hawataki ugomvi ni sisi mashabiki tu ndio tunaochochea
Ulitizama show yake kwa sporah?alisema amepambanishwa na watu wengi sana sio Kiba tu....iweje mumng'ang'anie yeye tu?tuache kazi zao ziongee jamani...aliyekua bora atajulikana kwa kazi zake...
 
Last edited by a moderator:
Yani ananishangaza kwanini asipost izo picha zake za dai katika thread mojawapo kati ya zile mia walizofungua kwa pupa!!

Hapa ndio kuna watu...kule ataziona nani?
Hata hivyo bora angeziacha tu manake kajitia aibu sioni hilo shangwe wala nini
 
Ngoja nikujibu mrembo King'asti kwa niaba ya wenzio woooote wanaouliza hilo swali...

Hivi wakati Ali Kiba ana hit na cinderella,nakshi nakshi,dushelele n.k alitegemea anguko la nani?alitoka kivyake tena bila hata ya kutegemea skendo tulimjua na kumpenda sana...sasa iweje leo ategemee 'anguko' la diamond?kwa hiyo sasa mtu asitoe wimbo wake kisa kuna diamond?wenyewe wala hawataki ugomvi ni sisi mashabiki tu ndio tunaochochea
Ulitizama show yake kwa sporah?alisema amepambanishwa na watu wengi sana sio Kiba tu....iweje mumng'ang'anie yeye tu?tuache kazi zao ziongee jamani...aliyekua bora atajulikana kwa kazi zake...

yaani wewe ni kichwa cjui km unalitambua hilo!
 
Last edited by a moderator:
Hapa ndio kuna watu...kule ataziona nani?
Hata hivyo bora angeziacha tu manake kajitia aibu sioni hilo shangwe wala nini

anashindana na upepo na roho inamuuma kuona
kuna mtu mwenye akili kaanzisha uzi km huu upo active hauchuji
kuutwa na vithread vyao uchwara jasho linawatoka
wanaanzisha thread mia comment nne
haloooooo
 
Back
Top Bottom