Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Kwenye uzi wa Dai,mmemvua nguo Kiba,mmemtusi matusi yote na dhihaka za kila namna hatujawajibu kwa kuwa kule hakutuhusu!wanaume wazima kama sio ukurubembe unaowawasha kuja kuuza minduku huku ni kitu gani hasa wewe mtoa huduma naona unajipitisha pitisha hapa kama hayawani!!Kama Matola dada,na warumi dada basi mfungua sredi wenu ni kubwa la madada!!Staha imewashinda ushabiki hamuuwezi mpaka mjifurahishe kwa kuwatukana opposers wenu mfyuuu zenu!!na uzi haufungwi virusi vya ebola nyie,mfyuuu!!

warumi ni dume jike.
 
jamani mpuuze tu dear, mdomo kapewa na halipii vat, bora kumchunia tu, wengine wana laana za kuzaliwa ukiwafuatilia unajipa shida tu
 
kupost kwenye hii thread ya mashosti ni upuuzi na kuwapa kick za kijinga let me leave this reckless sred.
 
My god!!! Unawezaje kumjua mchawi kama nawe sio mchawi

Nahis utakua n mmoja wao maana usinilazimishe kuamini nisichokitaka

let me tel u this youngman
hakuna kitu kizuri km heshma
ukiheshimiwa jiheshimu
kaka tafadhali,hujaitwa mwanahizaya,
kwa kinaume gani ulichokua nacho uite wenzio gays,
mwanaume mwenye kinaume aliyeenda jando anaweza kutamka uchafu huooo....?!!
una nini wewe kifurugobe
usie na haya,hujui vbaya mwanamtoka pabaya
lengo thread ifungwe etiii...!!
mmeona hatuwafati umeona uje kulete hizo zako za kuleta hukuu
komaaaaaaa tena komaaaaaaaaaaa....!!!

si uwafate huko huko kwani wanafanyia kwenye uzi hebu at least heshmu wazazi wako waliokulea kwa kuhifadhi maneno yako
usitake tuwatieni hatiani au tuwatukane wazazi ambao hawana makosa ht kidogo kwa tendo lao la kukuleta wewe duniani

Hawa watoto saa nyingine ni wa kuwapuuza tu foolish age inawasumbuwa tu, wengine kwenye maisha halisi huwezi kukutana nao mpaka mwisho wa dunia, hakuna any connection ya kukukutanisha na wapuuzi kama hawa.
 
Sisi tumejifunza kwa mtu tunayemshabikia. Ona, licha ya chokochoko zako lakini bado hakuna aliyekuwa tayari kulumbana na wewe. Kiba ni mstaarabu sana, nasi tumeiga kutoka kwake. Hutaona mtu anapoteza muda kukukabili. Ongea ukimaliza utaondoka.
Endapo sisi tutaanza kulumbana nawe kwa lugha chafu kama zako, tutakuwa tumekwenda kinyume na Kiba mwenyewe, na nadhani tutakuwa tumemdhalilisha sana. Walianza wenzio kutukana, hatukupoteza muda nao, wakaondoka zao wametuacha tunakamua.
Fujo ndio maisha yenu, kwani hata huyo msanii wenu amekuwa ktk maisha ya fujo tu, kaomba collabo na Kiba kwa kubembeleza kisha akaona kafunikwa kaamua kumfuta na kuiba mistari aliyoandika kwenye verse yake na kuiimba yeye.
Na bado, eti kasikia Kiba anatoa Mwana, naye kaachia video mbili kwa mpigo eti aifunike, lakini matokeo yake kafunikwa yeye na kuzomewa juu. Na sasa kasikia Kiba anataka kuachia video ya Mwana mwezi Novemba, eti naye anataka kuachia video mbili. Sasa ndo atazimishwa kabisa.
Ova
 
Ni kweli usemacho kuwapotezea ndo dawa yao ukiwajibu unawapa bichwa
 
Wanauzi sana...kah kama wamelipwa minduku kuwasha tu wale....
 
Sisi tumejifunza kwa mtu tunayemshabikia. Ona, licha ya chokochoko zako lakini bado hakuna aliyekuwa tayari kulumbana na wewe. Kiba ni mstaarabu sana, nasi tumeiga kutoka kwake. Hutaona mtu anapoteza muda kukukabili. Ongea ukimaliza utaondoka.
Endapo sisi tutaanza kulumbana nawe kwa lugha chafu kama zako, tutakuwa tumekwenda kinyume na Kiba mwenyewe, na nadhani tutakuwa tumemdhalilisha sana. Walianza wenzio kutukana, hatukupoteza muda nao, wakaondoka zao wametuacha tunakamua.
Fujo ndio maisha yenu, kwani hata huyo msanii wenu amekuwa ktk maisha ya fujo tu, kaomba collabo na Kiba kwa kubembeleza kisha akaona kafunikwa kaamua kumfuta na kuiba mistari aliyoandika kwenye verse yake na kuiimba yeye.
Na bado, eti kasikia Kiba anatoa Mwana, naye kaachia video mbili kwa mpigo eti aifunike, lakini matokeo yake kafunikwa yeye na kuzomewa juu. Na sasa kasikia Kiba anataka kuachia video ya Mwana mwezi Novemba, eti naye anataka kuachia video mbili. Sasa ndo atazimishwa kabisa.
Ova

shikamoo kaka sikuona hili jana nimewahi lala
thnx again
 
Kiba aache ukimya awe anafanya kweli,wenzake wanatengeneza album ndani ya mwaka yeye video tu ya wimbo kutoa inachukua miaka
 
Hey Viol ni video gani hiyo ambayo imewahi kuchukua miaka?wimbo wa mwana umetoka mwezi wa saba that means ni miezi minne tu na video iko tayari lakini hatuwezi kumlazimisha kwa sababu hatujui ana mipango gani.

All in all Kiba ni msanii mkubwa naamini anajua anachokifanya japo sometimes anakua na vijimakosa vya hapa na pale ila nae ni binadamu ndio maana sisi kama fans wake tukaamua kuanzisha thread hii ili tumkumbushe pale tunapoona hapako sawa ...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom