Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

"Ukitaja ma Mc wabovu, wa kwanza Jafarai" huyu ni SONGA.

Ila jamaa nampongeza alishtuka mapema...bora aendelee kuosha zake magari labda ndio kipaji chake mziki amuachie dada yake
 
Najua kwa TZ muda huu itakuwa ni usiku flani, lakini kama kuna mtu
anatazama channel za DStv angalia Big Brother Africa, muda huu Feza yuko na Idris na Housemate wa Zambia. Feza anamfagilia Kiba kinoma, kuwa alikaa kimya kwa miaka mitatu mfululizo, lakini karudi na Audio moja tu, kafunika Bongo nzima.
Feza kamtajia huyo Mzambia Diamond akawa hamjui, kamtajia na wimbo wa Mdogomdogo nao haujui, hata alipojaribu kumuimbia na bado hajui.
Ova
 
Huu Uzi unanishangaza sana title ni ally kibba ila content inamzungumzia diamond
 
Hahahaaaa umenichekesha sana....thou sikuwahi kutegemea kua na wewe una majibu hivi

Alianza kuniboa jamaa nikaona lazima ajue sijapenda swali lake, ila ilikuwa mtihani kwangu wakati nikisaka namna ya kuonesha alinikera lakini bila kuchafua hali ya hewa, nashukuru nilifanikiwa.
Wajua sio rahisi mtu kuleta taarifa za kitu kuonekana ktk TV inayoonekana Africa nzima halafu uongope. Isitoshe nilifanya kwa mapenzi yangu tu kwa Kiba, wala sikutumwa. Na nilipoandika hapa ni muda ambao muziki ulikuwa ukiendelea kupigwa na Housemates walikuwa wakiendelea kucheza.
Unakumbuka kuwa Idris ya Goitse walikuwa hawaongei kabisa kutokana na issue zao za mapenzi, lakini wakati wa Mwana walicheza pamoja na ndio walikuwa wa mbele kuunga mduara. Ulikuwa ni wimbo uliowasisimua na unaochezeka, hata waliokuwa wamekaa wakainuka na kuanza kucheza.
Ila yote kwa yote simchukii buku saba namkaribisha tena na tena.
Ova
 
Last edited by a moderator:
Najua kwa TZ muda huu itakuwa ni usiku flani, lakini kama kuna mtu
anatazama channel za DStv angalia Big Brother Africa, muda huu Feza yuko na Idris na Housemate wa Zambia. Feza anamfagilia Kiba kinoma, kuwa alikaa kimya kwa miaka mitatu mfululizo, lakini karudi na Audio moja tu, kafunika Bongo nzima.
Feza kamtajia huyo Mzambia Diamond akawa hamjui, kamtajia na wimbo wa Mdogomdogo nao haujui, hata alipojaribu kumuimbia na bado hajui.
Ova

utasababisha watu wajiumize bure kila heri kwenye shindano
 
Najua kwa TZ muda huu itakuwa ni usiku flani, lakini kama kuna mtu
anatazama channel za DStv angalia Big Brother Africa, muda huu Feza yuko na Idris na Housemate wa Zambia. Feza anamfagilia Kiba kinoma, kuwa alikaa kimya kwa miaka mitatu mfululizo, lakini karudi na Audio moja tu, kafunika Bongo nzima.
Feza kamtajia huyo Mzambia Diamond akawa hamjui, kamtajia na wimbo wa Mdogomdogo nao haujui, hata alipojaribu kumuimbia na bado hajui.
Ova

Huyuhuyu Diamond tunayeaminishwa kuwa ni celeb hadi hollywood akina Nelly na Beyonce wanamshobokea alafu huyo Mzambia anasema hajawahi na hamjui Diadond ni nani hapa kwa Jirani?

Dah.. ni hatari.
 
Najua kwa TZ muda huu itakuwa ni usiku flani, lakini kama kuna mtu
anatazama channel za DStv angalia Big Brother Africa, muda huu Feza yuko na Idris na Housemate wa Zambia. Feza anamfagilia Kiba kinoma, kuwa alikaa kimya kwa miaka mitatu mfululizo, lakini karudi na Audio moja tu, kafunika Bongo nzima.
Feza kamtajia huyo Mzambia Diamond akawa hamjui, kamtajia na wimbo wa Mdogomdogo nao haujui, hata alipojaribu kumuimbia na bado hajui.
Ova

Aisee hii big brother hii italeta shida mjini hapa,unadhani watu hawajui basi?wanakaa kimya tu wanaumia kimoyomoyo eti wakisema watampa kick ilhali sisi tunajua zamaaaani...
 
Alianza kuniboa jamaa nikaona lazima ajue sijapenda swali lake, ila ilikuwa mtihani kwangu wakati nikisaka namna ya kuonesha alinikera lakini bila kuchafua hali ya hewa, nashukuru nilifanikiwa.
Wajua sio rahisi mtu kuleta taarifa za kitu kuonekana ktk TV inayoonekana Africa nzima halafu uongope. Isitoshe nilifanya kwa mapenzi yangu tu kwa Kiba, wala sikutumwa. Na nilipoandika hapa ni muda ambao muziki ulikuwa ukiendelea kupigwa na Housemates walikuwa wakiendelea kucheza.
Unakumbuka kuwa Idris ya Goitse walikuwa hawaongei kabisa kutokana na issue zao za mapenzi, lakini wakati wa Mwana walicheza pamoja na ndio walikuwa wa mbele kuunga mduara. Ulikuwa ni wimbo uliowasisimua na unaochezeka, hata waliokuwa wamekaa wakainuka na kuanza kucheza.
Ila yote kwa yote simchukii buku saba namkaribisha tena na tena.
Ova

Dah kweli mkuu ulitumia busara hadi jamaa mwenyewe alikukubali...
Ukitaka kujua hekma za mtu mkasirishe alafu majibu yake ndio kipimo cha hekma zake....kwa hili nimekuelewa sana
 
Last edited by a moderator:
Dah kweli mkuu ulitumia busara hadi jamaa mwenyewe alikukubali...
Ukitaka kujua hekma za mtu mkasirishe alafu majibu yake ndio kipimo cha hekma zake....kwa hili nimekuelewa sana

Hahahaa! Nimeipenda hii ya kutaka kujua hekima za mtu. Una akili sana wewe.
Ova
 
Aisee hii big brother hii italeta shida mjini hapa,unadhani watu hawajui basi?wanakaa kimya tu wanaumia kimoyomoyo eti wakisema watampa kick ilhali sisi tunajua zamaaaani...

chema chajiuza
 
Back
Top Bottom