suregirl
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 6,056
- 196
Hahahaaaaaa leo ndio nimeamini kua wewe ni mwanamke wa kitanga halisi...haya maneno ni shiiidah
Ahhhha asee umenichekesha ati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaaaa leo ndio nimeamini kua wewe ni mwanamke wa kitanga halisi...haya maneno ni shiiidah
Na akashangae baharini samaki anaoga bila sabuni au mitumbani nguo zinanikwa bila kufuliwa....
Akienda baharini atataka kupiga deki bahari.
Bas atafute mahali aheme asilete kukurukakara hajui kuruka ruka kwa bisi ndo kuiva kwake
Heheheee natamani ungekuwepo wakati thread inaanza tulivamiwa hapa hadi tulichoka...
ally kiba si mtu mzuri kabisa katika tasnia ya mziki..dah!yaani ngoma moja ya mwana dar es salaam kamfanya mwenzake akaribie kutoa nyimbo kama tisini hivi kwa wakati mmoja na video za gharama dah!........nimeisikia hiyo ngoma aliyotoa jamaa leo dah!nilidhani underground gani sijui yaani ashukuru kichupa kakitendea haki!....kiba akitoa remix ya mwana na kichupa kikali stress zitawazidi kwani huu wimbo alioutoa ni kama kamtoa kipa golini ni yeye tu ali kiba kulenga!
yaani stres zimewazidi mi sijauskia wekeni link bas tuuskie
yaani pia huu uzi nimekuja kuuona ushajaa tayar nikasema sikubali ngoja nami nichangie mana nampenda kiba kufa
ally kiba si mtu mzuri kabisa katika tasnia ya mziki..dah!yaani ngoma moja ya mwana dar es salaam kamfanya mwenzake akaribie kutoa nyimbo kama tisini hivi kwa wakati mmoja na video za gharama dah!........nimeisikia hiyo ngoma aliyotoa jamaa leo dah!nilidhani underground gani sijui yaani ashukuru kichupa kakitendea haki!....kiba akitoa remix ya mwana na kichupa kikali stress zitawazidi kwani huu wimbo alioutoa ni kama kamtoa kipa golini ni yeye tu ali kiba kulenga!
ungesema niisikie...maana si wimbo bali ni ripoti sijui taarifa sijui hadithi!...
Huu Uzi unanishangaza sana title ni ally kibba ila content inamzungumzia diamond
yaani stres zimewazidi mi sijauskia wekeni link bas tuuskie
Mh!my dear gen...uko serious na Kiba kweli?unataka link ya huyo mpuuzi iwekwe hapa ya nini?Mimi sihangaiki kuutafuta YouTube wala mkito ya nini nikamuongezee viewers?nausubiri nitauona kwenye TV basi....
Mimi mwenzio huko wasap nilishaweka status kabisa sitaki mtu anitumie kitu chochote kinachomhusu huyo mpuuzi
ally kiba si mtu mzuri kabisa katika tasnia ya mziki..dah!yaani ngoma moja ya mwana dar es salaam kamfanya mwenzake akaribie kutoa nyimbo kama tisini hivi kwa wakati mmoja na video za gharama dah!........nimeisikia hiyo ngoma aliyotoa jamaa leo dah!nilidhani underground gani sijui yaani ashukuru kichupa kakitendea haki!....kiba akitoa remix ya mwana na kichupa kikali stress zitawazidi kwani huu wimbo alioutoa ni kama kamtoa kipa golini ni yeye tu ali kiba kulenga!
hahahaaaaaaaa mpaka wassap humtaki
You nailed it all, mimi leo nimeona na kusikiliza vizuri huyu dogo badala ya kwenda mbele sasa naona anarudi nyuma. Video inaonekana iko fresh.
Kusema ukweli leo hii kwa upepo uliopo ndio ilibidi atoke na my number aliyoimba na Davido ndio angeweza kuwashika, lakini atapata sapoti za kishabiki tu lakini nyimbo hamna kitu, na ni dhahiri amekubali kitorondo imeshindwa kucompete na Mwanadaresalame.
Kuna siku shabiki wake maandazi alikuja kututisha eti jamaa ana stock ya nyimbo kali hatariiii hadi haelewi atoe upi kwanza....Mimi pia nimewahi kumuona ndomo kapost insta eti ana mawe kibao tatizo management yake inambania...
Sasa jiulize katika hiyo stock huu aliorelease leo ndio the best among the rest kuna nini hapo?
Naona leo Kiba huko aliko amecheka hadi mbavu zinamuuma