Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Sasa Kiba uko ulipo natumai we shall hear from u soon...
 
Kwakweli kwa kwa style hii Diamond asichoke kuimba na Davido hii nyimbo hata ukilazimisha promo ni kazi bure kabisa, kumbe ndio maana Jose Chamilion akawa mbogo alipotaka kuwekwa level moja na huyu Billionare wetu wa Manzese.

Hahahaaa dr. Chameleon ataacha kua mbogo kwa huo wimbo mbovu ninaousikia?ngoja nivizie clouds nitauona tu
 
Kwa kifupi ni kama alivyosema Muuza sura Kiba ameachiwa goli wazi kila mtu atamshangaa akipaisha au agigongesha mwamba.

Hahahaaa yule namuaminia ni kiungo hodari atafunga goli la mwaka....uwiiiiii can't wait
 
Ni sheeedah kama fiesta aisee...Kiba akitoa video watatafutana humu
Mwacheni Kiba apumzike! Alishakubali wakati wake umeisha,nyinyi wapenzi wake tu ndio mnalazimisha hiyo.

Sent from my SM-G800H using Tapatalk
 
Mwacheni Kiba apumzike! Alishakubali wakati wake umeisha,nyinyi wapenzi wake tu ndio mnalazimisha hiyo.

Sent from my SM-G800H using Tapatalk

Wewe nae katulize stress zako za wimbo mbovu alioutoa boss wenu ndomo huko...
Sisi tuache na Kiba wetu kwani tumekuomba bando?
 
Wewe nae katulize stress zako za wimbo mbovu alioutoa boss wenu ndomo huko...
Sisi tuache na Kiba wetu kwani tumekuomba bando?

nenda kwAmwambie hii ni sauti ya rais iliyo mshindaga ibilisi kwa mwanadaresalama sio rahisi....mwambie ajue kutofautisha msalaba na + ,x na kuzidisha....ha ha ha ha wamepanic haooo!!!!
 
nenda kwAmwambie hii ni sauti ya rais iliyo mshindaga ibilisi kwa mwanadaresalama sio rahisi....mwambie ajue kutofautisha msalaba na + ,x na kuzidisha....ha ha ha ha wamepanic haooo!!!!

Karibu kwenye thread ya watoto wa mjini, unamshabikia domo wakati hata vijisenti vya kununuwa single yake mbovu unataka watu wengine wanunuwe wewe usikilize bure, ni sheedar.
 
ally kiba si mtu mzuri kabisa katika tasnia ya mziki..dah!yaani ngoma moja ya mwana dar es salaam kamfanya mwenzake akaribie kutoa nyimbo kama tisini hivi kwa wakati mmoja na video za gharama dah!........nimeisikia hiyo ngoma aliyotoa jamaa leo dah!nilidhani underground gani sijui yaani ashukuru kichupa kakitendea haki!....kiba akitoa remix ya mwana na kichupa kikali stress zitawazidi kwani huu wimbo alioutoa ni kama kamtoa kipa golini ni yeye tu ali kiba kulenga!

Nikiingia humu lazima nicheke. Eti kama kumtoa kipa golini. Hahahaa! Haya maneno ndo yanafanya majirani washindwe kuvumilia.
Ova
 
Bado ananiijia ndotoni aaaa kila nikiamka simuoniii ,bado ananijia nikilala haki ya Mungu sio masiharaaaaaaaaaaa
Hii ni sauti ya raisi iliyomshindaga Ibilisii
kwa mwanadamu sio rahisiii
Kamwambieeeeeee
Jaman mjue kutofautisha kati msalaba na jumlisha
Kuna x na kuzidishaaaaa
Vichecheeeeeeeeeee
Daimond Shikamoooooooooooooo
 
Jamani dawa ya sumu ni maziwa ndimu nawahurumia mtaumwa vifuaaaa
 
Back
Top Bottom