Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa Kiba uko ulipo natumai we shall hear from u soon...
Kwakweli kwa kwa style hii Diamond asichoke kuimba na Davido hii nyimbo hata ukilazimisha promo ni kazi bure kabisa, kumbe ndio maana Jose Chamilion akawa mbogo alipotaka kuwekwa level moja na huyu Billionare wetu wa Manzese.
wana stress yaani badala ya kidiscuss wimbo wanamdiscuss kiba duh
Kwa kifupi ni kama alivyosema Muuza sura Kiba ameachiwa goli wazi kila mtu atamshangaa akipaisha au agigongesha mwamba.
Mwacheni Kiba apumzike! Alishakubali wakati wake umeisha,nyinyi wapenzi wake tu ndio mnalazimisha hiyo.Ni sheeedah kama fiesta aisee...Kiba akitoa video watatafutana humu
Kiba anafanya shughuli nyengine tofauti na mziki kwa sasa.Sasa Kiba uko ulipo natumai we shall hear from u soon...
Mwacheni Kiba apumzike! Alishakubali wakati wake umeisha,nyinyi wapenzi wake tu ndio mnalazimisha hiyo.
Sent from my SM-G800H using Tapatalk
Wewe nae katulize stress zako za wimbo mbovu alioutoa boss wenu ndomo huko...
Sisi tuache na Kiba wetu kwani tumekuomba bando?
We ungemchunia tu ukamuona anakoelekea.
Wewe nae katulize stress zako za wimbo mbovu alioutoa boss wenu ndomo huko...
Sisi tuache na Kiba wetu kwani tumekuomba bando?
nenda kwAmwambie hii ni sauti ya rais iliyo mshindaga ibilisi kwa mwanadaresalama sio rahisi....mwambie ajue kutofautisha msalaba na + ,x na kuzidisha....ha ha ha ha wamepanic haooo!!!!
ally kiba si mtu mzuri kabisa katika tasnia ya mziki..dah!yaani ngoma moja ya mwana dar es salaam kamfanya mwenzake akaribie kutoa nyimbo kama tisini hivi kwa wakati mmoja na video za gharama dah!........nimeisikia hiyo ngoma aliyotoa jamaa leo dah!nilidhani underground gani sijui yaani ashukuru kichupa kakitendea haki!....kiba akitoa remix ya mwana na kichupa kikali stress zitawazidi kwani huu wimbo alioutoa ni kama kamtoa kipa golini ni yeye tu ali kiba kulenga!
Jamani dawa ya sumu ni maziwa ndimu nawahurumia mtaumwa vifuaaaa
humu ndani vipi?mbona mmekuwa wapole sana
Hhhhhhhaaaa wana machungu Mhudumu lete maziwaaaaaaaa