Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

nakshi nakshi mrembo ulowatosa matoz na vigogo ukaja kwangu ukawapa visogoo..... i love the song

Ukawaona hawana mpango,na kusema hupendi kuniona nalia...hupendi kuniona natesekaaaa....
Uwiiiiiii
 
Kweli nimeamini usipotia maguu kwenye uzi huu Wananchi ni lazima waamini umeishiwa bundle.

tunapta ili tuangalie mmemjadl nn daimond na tunashangaa mnamjua diamond kulko sisi mashabk wake au ndo nguruwe sili lakn mchuzi wake nakula,kweli story za daimond tamu na hazichoshi
 
nimeamini maisha bila Unafki hayaendi...huu uzi ndo unaitwa ally kibaz special thread lakini unamjadili Dai na familia yake...halafu watu haohao wanakwambia Hawampendi Dai

Maisha bila Unafki hayaendi.............

we unadhan watajadl nn hapa?kba tangu fiesta iishe hana jpya so tuwaache tu waendelee kumjadl diamond
 
tunapta ili tuangalie mmemjadl nn daimond na tunashangaa mnamjua diamond kulko sisi mashabk wake au ndo nguruwe sili lakn mchuzi wake nakula,kweli story za daimond tamu na hazichoshi

Tusingemjuwa Diamond ingekuwa ni uchizi kusema Kiba ni zaidi.

Huwezi kuwa haupajui New york halafu ulete ubishi Dar esalaam ni mji wa kisasa kuliko New york.
 
baambie mwaya, na hayo wameyataka wenyewe kumleta dai kwenye uzi wa kiba sasa tukimuongelea wanaumia tena!!! watuache tufanye yetu ilimradi hatuvunji sheria
 
Tusingemjuwa Diamond ingekuwa ni uchizi kusema Kiba ni zaidi.

Huwezi kuwa haupajui New york halafu ulete ubishi Dar esalaam ni mji wa kisasa kuliko New york.

jibu zuri sana
akirudi ntajua hayuko vizuri upstairs
 
kwa hal h diamond ataendelea kuwa star wa tz had afe,me nljua magazet ya shgongo tu ndo yanapenda story zake kumbe hata wanaomchukia kutwa kumuongelea yy utadhan tz celebrity n yy tu
 
Tusingemjuwa Diamond ingekuwa ni uchizi kusema Kiba ni zaidi.

Huwezi kuwa haupajui New york halafu ulete ubishi Dar esalaam ni mji wa kisasa kuliko New york.

hata mtoto mdogo anajua nairob n mj wa ksasa kulko dar es salam sembuse new york?haihtaj elm hata ya shule ya nasary kuljua hlo.
 
tunapta ili tuangalie mmemjadl nn daimond na tunashangaa mnamjua diamond kulko sisi mashabk wake au ndo nguruwe sili lakn mchuzi wake nakula,kweli story za daimond tamu na hazichoshi

Kweli sasa naamini mtaa wa pili wote mko huko nanjilinji....
Asiyemjua diamond mjini hapa nani hadi ushangae sisi kumjua sana?
Tulia wewe watu tuna info zake hadi alivyokua anakunywa gongo kabla hajatoka basi tu hatusemi....
 
Kazi nzuri# WcB
 
kwa hal h diamond ataendelea kuwa star wa tz had afe,me nljua magazet ya shgongo tu ndo yanapenda story zake kumbe hata wanaomchukia kutwa kumuongelea yy utadhan tz celebrity n yy tu

Kua star tz hadi unakufa sio sifa kuuubwa kihivyo,huyo sharo tu alikua star
 
hata mtoto mdogo anajua nairob n mj wa ksasa kulko dar es salam sembuse new york?haihtaj elm hata ya shule ya nasary kuljua hlo.

Zaa katoto, uko too low hata kuandika tu hujui kajifunze kwanza kuandika ndio uje hapa kubishana na kaka zako, hapo unatumia keyboard/keypad una mwandiko mbaya namna hii sasa ukitumia pen si ndio hekaheka?
 
Acha story za vijiweni wewe,huyo mtoto mdogo anajua kupitia story zenu nyinyi
 
Uwiiiii hii arsenal itaniua jamani,why arsenal....why?ngojeni nikajipoze machungu jamani...
 
Zaa katoto, uko too low hata kuandika tu hujui kajifunze kwanza kuandika ndio uje hapa kubishana na kaka zako, hapo unatumia keyboard/keypad una mwandiko mbaya namna hii sasa ukitumia pen si ndio hekaheka?

zaa katoto ndo nan sasa,ww mwenyewe unaonyesha hujui kusoma na kuandika.kaanze shule japo memkwa itakusaidia
 
Back
Top Bottom