Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
hahahaha,vp hyo yako ujanja wake uko wap
Acha kujifurahisha wewe kama nyoka kujidanganya ana miguu...unaweza fananisha id yangu na huo uchafu wako?imekaa kiswazi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaha,vp hyo yako ujanja wake uko wap
Zaa katoto, usipanic huwezi kuzuia mvuwa ili kujuwa Moshi na Arusha ni mji upi unaongoza kwa usafi ni lazima ufike sehemu hizo na siyo kuhadhiwa kijiweni au salon.
Last but list ongeza bidii kwenye kujifunza kuandika usidhani hapa unadeal na watoto wenzako.
Acha kujifurahisha wewe kama nyoka kujidanganya ana miguu...unaweza fananisha id yangu na huo uchafu wako?imekaa kiswazi sana
Matola alikuwa anamaanisha kuwa huandiki kwa mpangilio wa walioenda shule. Mfano ni kuwa hujui kama baada ya kuweka nukta (full stop) unapaswa kuanza na herufi kubwa. Si unaona ulivyoandika hapo juu?zaa katoto ndo nan sasa,ww mwenyewe unaonyesha hujui kusoma na kuandika.kaanze shule japo memkwa itakusaidia
so nikusaidiaje ndo ishakuwa ya kiswazi sasa,pole sana kama inakupa headache na kama inakutia kichefuchefu ramba ndimu na kama ndimu zipo mbali bac nusa kwapa
Acha kujifurahisha wewe kama nyoka kujidanganya ana miguu...unaweza fananisha id yangu na huo uchafu wako?imekaa kiswazi sana
Zaa katoto, usipanic huwezi kuzuia mvuwa ili kujuwa Moshi na Arusha ni mji upi unaongoza kwa usafi ni lazima ufike sehemu hizo na siyo kuhadhiwa kijiweni au salon.
Last but list ongeza bidii kwenye kujifunza kuandika usidhani hapa unadeal na watoto wenzako.
me mwenyewe nashangaa mtu mzima km ww kujadl habar hz,habar km hz huwa znajadliwa na watoto bhana.na cyo lazma uende sehemu ndo ujue habar zake mbona watu wanamfata mtume na yesu ambae hata hawajawah kuwaona.na nakushangaa ww unaejua kuandika vzur lakn umeandka mvuwa so cjui n lugha ya wap hii
Wewe mtoto sikiliza hapa hatujadiri imani, hapa tunajadili fact.
Ndio maana huwezi kujuwa kama single aliyotoa Diamond ni mbovu kabisa mpaka uisikilize na pia huwezi kuujuwa ubora wa video yake mpaka uione.
Hapa hatujadili imani kama wewe ni mtu wa imani nenda jukwaa la dini hapa umepotea njia.
Unashangaa mtu mzima kufatilia muziki wa kisasa wewe unadhani redio zinazopromote muziki huu zinamilikiwa na watoto kama wewe? Unamjuwa Joe Kusaga?
Wakati Mengi anaanzisha redio one najuwa ulikuwa unanyonya, hujawahi kuhadithiwa kwamba Mzee Mengi a.k.a Baba wawili alikuwa anakwenda kununuwa mwenyewe Cd's na Lp Marekani kwa ajili ya redio one? Tena wakati redio one ipo jengo la NASACO sasa hivi ni NSSF water front.
Umetumwa kuja kuharibu huu uzi nini?nikiwa kama mtaalamu wa uwianisho wa typing na harufu nimejaribu kukufuatilia kidogo nimegundua una matatizo ya kutoa kiharufu sehemu za siri....sasa ili tukusikikize kajisafishe na jipulizie unyunyu ndo uje humu
Matola alikuwa anamaanisha kuwa huandiki kwa mpangilio wa walioenda shule. Mfano ni kuwa hujui kama baada ya kuweka nukta (full stop) unapaswa kuanza na herufi kubwa. Si unaona ulivyoandika hapo juu?
Ova
achana nae huyo mtoto tusimjibu anatafuta umaarufu kupitia majin ya watu
Wewe mtoto sikiliza hapa hatujadiri imani, hapa tunajadili fact.
Ndio maana huwezi kujuwa kama single aliyotoa Diamond ni mbovu kabisa mpaka uisikilize na pia huwezi kuujuwa ubora wa video yake mpaka uione.
Hapa hatujadili imani kama wewe ni mtu wa imani nenda jukwaa la dini hapa umepotea njia.
Unashangaa mtu mzima kufatilia muziki wa kisasa wewe unadhani redio zinazopromote muziki huu zinamilikiwa na watoto kama wewe? Unamjuwa Joe Kusaga?
Wakati Mengi anaanzisha redio one najuwa ulikuwa unanyonya, hujawahi kuhadithiwa kwamba Mzee Mengi a.k.a Baba wawili alikuwa anakwenda kununuwa mwenyewe Cd's na Lp Marekani kwa ajili ya redio one? Tena wakati redio one ipo jengo la NASACO sasa hivi ni NSSF water front.
Kiba keshakwama!!
teh teh
Sasa ndo tushajua tofauti ya Jumlisha na Msalaba!!
Nitampata wapi
Maggid pichani Zanzibar." Ujana Kiza Na Nuru"- Ali Kiba
Ndugu zangu,
Nimependa tungo za mwanamuziki huyu Ali Kiba kwenye wimbo wake wa ' Mwana'. Amenikumbusha mwandishi na mshairi mahiri Shaaban Robert. Yeye anasema;"Ujana ni nusu ya uwendawazimu". Na mimi namwambia Ali Kiba, kuwa mwanadamu hukimbia wingu, haikimbii mvua.
Pichani nikiwa juu Africa House, Zanzibar, Januari 1989. Ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kuvuka bahari. Nilikuwa kijana mdogo sana mwenye kiu kubwa ya kujifunza. Na kwenye Jahazi lile nililopanda liitwalo ' Ras Nungwi' hakukuwa na kwenda tezi wala omo, abiria wote tulituama ngamani. Jahazi lilijaza magunia ya chumvi na liliyumba haswa pale pwani ya Msasani. Na miaka michache baadae nikaambiwa Ras Nungwi imezama pwani ya Mombasa..!
Maggid ,
Iringa.
" Ujana Kiza Na Nuru"- Ali Kiba

nitafute umaarufu?umaarufu kwa watu nisiowajua wala ambao hawanijui,kama nna shida ya umaarufu ntatafuta mtaan kwetu lakini cyo huku ambapo id yangu n ya uongo na hata sura yangu haionekani