zai katoto
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 325
- 227
teh teh teh h nchi bhana et kiba ni kama shaban robart wakati hata mrisho mpoto hamfikii huyo shaban robart
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
teh teh teh h nchi bhana et kiba ni kama shaban robart wakati hata mrisho mpoto hamfikii huyo shaban robart
Kwa hisani ya Mkuu Matola, nathibitisha kuwa amefikisha habari kwetu kutoa zawadi ya thamani ya shilingi elfu ishirini (20,000/-) kwa ajili ya mshindi atakaye bahatika post yake kuwa ya kwanza kuingia ukurasa wa 100 katika uzi huu.
Kwa taarifa zaidi wasiliana na Mkuu Matola ambaye ni mwandalizi wa zawadi hii. Zawadi hiyo itatolewa na Moderator wa JF.
Wasalaam!
Umeeeleweka Moderator!.Shikamooni mashabiki wa Kiba!
teh teh teh h nchi bhana et kiba ni kama shaban robart wakati hata mrisho mpoto hamfikii huyo shaban robart
" Ujana Kiza Na Nuru"- Ali Kiba
Ndugu zangu,
Nimependa tungo za mwanamuziki huyu Ali Kiba kwenye wimbo wake wa ' Mwana'. Amenikumbusha mwandishi na mshairi mahiri Shaaban Robert. Yeye anasema;"Ujana ni nusu ya uwendawazimu". Na mimi namwambia Ali Kiba, kuwa mwanadamu hukimbia wingu, haikimbii mvua.
Pichani nikiwa juu Africa House, Zanzibar, Januari 1989. Ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kuvuka bahari. Nilikuwa kijana mdogo sana mwenye kiu kubwa ya kujifunza. Na kwenye Jahazi lile nililopanda liitwalo ' Ras Nungwi' hakukuwa na kwenda tezi wala omo, abiria wote tulituama ngamani. Jahazi lilijaza magunia ya chumvi na liliyumba haswa pale pwani ya Msasani. Na miaka michache baadae nikaambiwa Ras Nungwi imezama pwani ya Mombasa..!
Maggid ,
Iringa.
Kwa hisani ya Mkuu Matola, nathibitisha kuwa amefikisha habari kwetu kutoa zawadi ya thamani ya shilingi elfu ishirini (20,000/-) kwa ajili ya mshindi atakaye bahatika post yake kuwa ya kwanza kuingia ukurasa wa 100 katika uzi huu.
Kwa taarifa zaidi wasiliana na Mkuu Matola ambaye ni mwandalizi wa zawadi hii. Zawadi hiyo itatolewa na Moderator wa JF.
Wasalaam!
Umetumwa kuja kuharibu huu uzi nini?nikiwa kama mtaalamu wa uwianisho wa typing na harufu nimejaribu kukufuatilia kidogo nimegundua una matatizo ya kutoa kiharufu sehemu za siri....sasa ili tukusikikize kajisafishe na jipulizie unyunyu ndo uje humu
Kwa hisani ya Mkuu Matola, nathibitisha kuwa amefikisha habari kwetu kutoa zawadi ya thamani ya shilingi elfu ishirini (20,000/-) kwa ajili ya mshindi atakaye bahatika post yake kuwa ya kwanza kuingia ukurasa wa 100 katika uzi huu.
Kwa taarifa zaidi wasiliana na Mkuu Matola ambaye ni mwandalizi wa zawadi hii. Zawadi hiyo itatolewa na Moderator wa JF.
Wasalaam!
Namfahamu Maggid Mjengwa, ni mtu makini sana. Nilifahamiana naye safarini Norway, alikuwa anaenda masomoni.
Mara nyingi huwasifu hadharani wanasiasa mahiri tu wa Kitaifa na Kimataifa, si shabiki sana wa muziki wa Bongo Flava.
Baada ya andiko lake hilo lililoletwa hapa kwa msaada wa Matola nimeongea naye, amesema kwa sasa yeye shabiki mkubwa wa Kiba.
Ameipenda sana Mwana, ni wimbo wenye elimu kubwa kwa jamii, ni wimbo utakaoishi miaka mingi kama tungo za hayati Shaaban Robert.
Amesema, ni wimbo uliomshangaza kwani ni wimbo mzuri unaopendwa na wengi, lakini haukuimba mapenzi na kumaliza ila dhana kwamba wimbo hautambi bila kuimba mapenzi.
Wimbo umezungumzia tatizo lililopo sasa la dawa za kulevya, umeelezea athari za vijana kukimbilia mijini bila kujua wanachokifuata huku wakiacha maisha mazuri wanakotoka.
Amesema mafanikio ya wimbo huu unaweza kuleta mapinduzi makubwa ya Bongo Flava, kutoka kuimba mapenzi na starehe hadi kuonya na kuelimisha bila kuweka mafumbo.
Kiukweli Maggid amefanya nifurahi sana kuwa shabiki wa Kiba, kwani niko mahala sahihi, hivyo wengine watatufuata kama alivyotufuata Maggid.
Ova
" Ujana Kiza Na Nuru"- Ali Kiba
Ndugu zangu,
Nimependa tungo za mwanamuziki huyu Ali Kiba kwenye wimbo wake wa ' Mwana'. Amenikumbusha mwandishi na mshairi mahiri Shaaban Robert. Yeye anasema;"Ujana ni nusu ya uwendawazimu". Na mimi namwambia Ali Kiba, kuwa mwanadamu hukimbia wingu, haikimbii mvua.
Pichani nikiwa juu Africa House, Zanzibar, Januari 1989. Ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kuvuka bahari. Nilikuwa kijana mdogo sana mwenye kiu kubwa ya kujifunza. Na kwenye Jahazi lile nililopanda liitwalo ' Ras Nungwi' hakukuwa na kwenda tezi wala omo, abiria wote tulituama ngamani. Jahazi lilijaza magunia ya chumvi na liliyumba haswa pale pwani ya Msasani. Na miaka michache baadae nikaambiwa Ras Nungwi imezama pwani ya Mombasa..!
Maggid ,
Iringa.
Asante, pia kuna mpango gani wa kuufanya huu uzi kuwa wa kudumu hapa (sticky), kwani naona una sifa nyingi za kuwa hivyo.
Shukrani.
Ova
namfahamu maggid mjengwa, ni mtu makini sana. Nilifahamiana naye safarini norway, alikuwa anaenda masomoni.
Mara nyingi huwasifu hadharani wanasiasa mahiri tu wa kitaifa na kimataifa, si shabiki sana wa muziki wa bongo flava.
Baada ya andiko lake hilo lililoletwa hapa kwa msaada wa matola nimeongea naye, amesema kwa sasa yeye shabiki mkubwa wa kiba.
Ameipenda sana mwana, ni wimbo wenye elimu kubwa kwa jamii, ni wimbo utakaoishi miaka mingi kama tungo za hayati shaaban robert.
Amesema, ni wimbo uliomshangaza kwani ni wimbo mzuri unaopendwa na wengi, lakini haukuimba mapenzi na kumaliza ila dhana kwamba wimbo hautambi bila kuimba mapenzi.
Wimbo umezungumzia tatizo lililopo sasa la dawa za kulevya, umeelezea athari za vijana kukimbilia mijini bila kujua wanachokifuata huku wakiacha maisha mazuri wanakotoka.
Amesema mafanikio ya wimbo huu unaweza kuleta mapinduzi makubwa ya bongo flava, kutoka kuimba mapenzi na starehe hadi kuonya na kuelimisha bila kuweka mafumbo.
Kiukweli maggid amefanya nifurahi sana kuwa shabiki wa kiba, kwani niko mahala sahihi, hivyo wengine watatufuata kama alivyotufuata maggid.
Ova
'Nilipokuwa mdogo,niliambiwa sana kua uone!
Binadamu wabaya na wazuri Ali,kua uone!
Kuna maghorofa na majumba mazuri ila bado kuna maisha,ya kunyanyasika na kudharaulika haya maisha ya dunia' by Ali Kiba mchizi wa ghetto Tanzanian boy the gang tamele!
'Zile kua uone,nilidhani maghorofa!
Aah kumbe mwana ukome,hakuna cha kuokota' by diamond platinumz,all da way from Tanzania. Rais wa wasafi.
'Nlikuwepo':bolt:
Hapa naona familia nzima ya mtaa wa pili iko humu ndani, nadhani wanajiingiza kwa mlango wa nyuma kuwania bundle. Mwanzoni sikujua kwanini Zaa Katoto na Chinga wameingia kwa kasi humu, kumbe wanatolea macho bundle.
Kwa mtindo huo basi mtakuwa busy sana na uzi huu, kwani huo ni mwanzo tu, mambo mazuri yatakuja baada ya kupatikana mshindi.
Hongera Matola kwa ubunifu huu.
Ova