Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Kwa heshima yako Diva wa ukweli na heshima yangu juu ya Kiba naachana na huyu Katoto mnuka k,ashazoea kusagwa na kukobolea ndo maana anakuja kujitongozesha kwangu!!Ila nasemajeee hapa lazima mjeeee!Utam wote,raha zote na masham sham ya ukweli yapo kwa Kiba!!

kwa heshima ya mashabiki wa diamond naachana na wewe, mtoa nyuma ya pazia had una mwaga m.a...vi
 
samahani kwa niliowakwaza but kwa walioingia kwenye kumi na nane zangu ili wanikomoe ujumbe wa usiku huu ni ardhi hauikomoi kwa kuikanyaga na dawa ya moto ni moto tuuu
 
Kweli sasa naamini mtaa wa pili wote mko huko nanjilinji....
Asiyemjua diamond mjini hapa nani hadi ushangae sisi kumjua sana?
Tulia wewe watu tuna info zake hadi alivyokua anakunywa gongo kabla hajatoka basi tu hatusemi....

Duuuh hii hatarii mpka supu y mawe,we nifah unaleta ugomvi w ngumi
 
jamani pleas mi naomba achaneni na hao warugaruga waliokuja mjini kwa tiketi ya vyuo hebu tujadilini ya msingi

humu ndani wame jaa first year kibao eti leo wana jiita watoto wa mjini......nakumbuka hata wewe kwenye uzi fulani mlikua mna kumbushana mlivyo kua watoto enzi zenu kule mtwara ha ha ha leo wajiita don town ha ha ha duuh.
 
Ndio maana singii kwenye uzi wao, yaani vichwa vyao vimejaa matusi matupu. Yaani hapa wamekuja wawili tu na wametibua ustaarabu wote wa uzi huu. Hebu tuwaache waondoke.
Ova
 
duuuh!! kuna watu wanapenda fujo jamani, just leave them, hata haisaidii kubishana nao
 
jamani pleas mi naomba achaneni na hao warugaruga waliokuja mjini kwa tiketi ya vyuo hebu tujadilini ya msingi

kiukweli nimecheka hatariii Matola mbona kaleta balaa jamani?wengine hapa naona wanamtaka matola kisa katangaza dau basi wanataka wamchunez u know....hahahaaa
 
Last edited by a moderator:
Unajua kuappreciate mpaka raha yaani sometimes unamjengea picha mtu kwa anavyoandika. ..nna asilimia 100 kale kachupi chafu hakiwezi kuandika hivi. ..vitoto kama vile hata ukivitoa dinner havichelewi kukuambia hiyo hela bora ungempa yeye akasuke. ...kiswaziswazi kipo

I am too humble u know....hahahaaa nimefurahi sana kusikia hivi,thanks again.
 
Ndio maana singii kwenye uzi wao, yaani vichwa vyao vimejaa matusi matupu. Yaani hapa wamekuja wawili tu na wametibua ustaarabu wote wa uzi huu. Hebu tuwaache waondoke.
Ova

Mimi hili nililiona mapema sana,ndio maana nikatoa Le Tamkoz mapeeema yaani hawa watu ni washari sijapata kuona,dah tuwaache tu maana wengine wanajisifu wametoka ushenzini sasa unategemea nini?
 
Hahaaaa na udakuzi wako wote hii habari huna?basi take it from me...alikua anakunywa gongo vibaya sana kama huamini nenda katafute video yake ya kwanza yeye na Romy Jones na fatma utacheka kama chizi

Duuh ndio mana afya imekataa thou anapata pesa haya maisha tuyaache 2 back ground z watu ni hatari,cku hizi anakunywa jd,ciroc,hennesy n absolute.huyo romy jones n nani yke
 
Duuh ndio mana afya imekataa thou anapata pesa haya maisha tuyaache 2 back ground z watu ni hatari,cku hizi anakunywa jd,ciroc,hennesy n absolute.huyo romy jones n nani yke

Ndugu yake,mama zao wamezaliwa pamoja yaani mtoto wa mamkubwa na mdogo
 
Kwa hisani ya Mkuu Matola, nathibitisha kuwa amefikisha habari kwetu kutoa zawadi ya thamani ya shilingi elfu ishirini (20,000/-) kwa ajili ya mshindi atakaye bahatika post yake kuwa ya kwanza kuingia ukurasa wa 100 katika uzi huu.

Kwa taarifa zaidi wasiliana na Mkuu Matola ambaye ni mwandalizi wa zawadi hii. Zawadi hiyo itatolewa na Moderator wa JF.

Wasalaam!
Matola ongeza pesa bana we mtu mkubwa hivyo umetembea nchi zote duniani,,umekaa meza moja na watu maarufu na wakubwa duniani unatoa 20000 au umesahau zero moja ninii !!!!!! Moderator aongeze pesa bana kwa heshima kubwa aliyonayo matola jf
 
Last edited by a moderator:
Ndugu yake,mama zao wamezaliwa pamoja yaani mtoto wa mamkubwa na mdogo

Sasa hilo jina l romy jones laje au nalo kadandia mana kila nikumuona domo jamaa yupo nyuma kma mganga w mvua.domo anatakiwa kua mbali sana ila wapambe ndio wanamrudisha nyuma atleast angekua n investment z kumuingizia hela kma apartment cz biashara hawezi pia naona ukoo mzima unamtegemea yeye
 
Back
Top Bottom