ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,858
Ume elewa ulicho kiandika? kasome "CL 1000"
Kweli wewe ni first year hadi course code unazikumbuka, wengine hata tumeshazisahau.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ume elewa ulicho kiandika? kasome "CL 1000"
Kweli wewe ni first year hadi course code unazikumbuka, wengine hata tumeshazisahau.
jamani me ndo mshindiiiiiiiiiiiiiiii
why mnabishana na kurushiana maneno bila sababu? be calm guys, haya hata hayasaidii
nimewaza ingekuwa page ya100 bando ingekuwa yako
Huamini bibie??hahahahaaaa
Nawe wafukuzia bundle???hahahahaaaa watu linawania kweli nikilpata hiloo ful kujiachia na hv nna airtel
Nawe wafukuzia bundle???
Mkuu nakomaa hadi kieleweke!si unajua tena maisha yenyewe haya ya kulenga kwa manati?kaza buti tu utapata.
Mkuu nakomaa hadi kieleweke!si unajua tena maisha yenyewe haya ya kulenga kwa manati?
Mkuu subiri kwanza tufike page 100+ ndo twaweza discuss hiyo issue...kwa sasa malengo yetu yawe how to get that bundle!Khe Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeHawa wa mtaa wa pili nawashangaa uzi hauwahusu lakini wanakuja na maneno ya shombo na povu linawatoka kama wamekula sabuni ya magadi kulikoni? Halafu wanamidomo michafu kama choo cha soko/stendi. Hapa ni Ally Kiba for real,hutaki sepa.
U know Kiba is killing them softly!
Na ule ukimya wake sasa, hapo washaweka question marks kibao mpaka wamebaki na labda!!
#AllyK4Real
daaaaah!Mchina wangu kaishiwa charge....anyway best wishes kwa mshindiKomaa mpenzi,bila kujali.
Naskiza eastafrica radio kipindi cha eastafrica breakfast wanasema mwana ni song of da year, kiba ni kichwa cku zote nyimbo zke zina ujumbe