Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

why mnabishana na kurushiana maneno bila sababu? be calm guys, haya hata hayasaidii
 
Nimeamua kupiga kambi kwenye uzi wa watoto wa town.....sio kwamba navizia bundle lahasha!
 
Hawa wa mtaa wa pili nawashangaa uzi hauwahusu lakini wanakuja na maneno ya shombo na povu linawatoka kama wamekula sabuni ya magadi kulikoni? Halafu wanamidomo michafu kama choo cha soko/stendi. Hapa ni Ally Kiba for real,hutaki sepa.
 
Mkuu subiri kwanza tufike page 100+ ndo twaweza discuss hiyo issue...kwa sasa malengo yetu yawe how to get that bundle!Khe Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom