Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Nimechagua moja mrembo kubaki kwa watoto wa town.......Nakupendaje yaani!Hongera kwa mshindi ingawa mashabiki wote Ally Kiba ni washindi....

Hahahaaaa....karibu home sweet home kwa King Kiba fans.
Ole wako nikuone kule kijijini...lol
 
Kaeni mkao wa kura kwa phase 2 promo hii itakuwa unbeatable by the way Moderator nimeshawasiliana naye amethibitisha mshindi ni geniveros, naomba mlete hapa nimkabidhi zawadi yake maana Moderator anaweka usiku kuja kumtangaza rasmi lakini uzuri wote mnamjuwa mshindi sasa sioni sababu ya kusubiri kumpa zawadi yake.

Yaani geniveros una kusudi wewe hatariiiiii....umekuja kuharibu na ushajua umeshinda basi unatuchunia....hahahaaa
 
Last edited by a moderator:
Nifah,tupo pamoja,tupo hapa kumtia moyo,na kumshauri Kiba katika kila hali ili mziki wake uinuke!Umoja ni nguvu,hapana chezea nguvu ya umoja jamani,sasa na nyie mkiona kuna nzi wamevamia kuharibu mazingira tuwe tunasaidiana kufukuza hao nzi na mbung'o mie siwezi vumilia mvamizi ajipatie sifa za kijinga home kwangu!!

Hahaaaah mpenzi siku hizi una hasira hatariiii...usijali jeshi liko kamili ila kale ka...... kanakotafuta kick tukapotezee
 
Hii ni kwa wale wanaodhani watu tuko hapa kwa ajili ya ile complimentary aliyotoa Matola....
Iko wazi hakuna asiyejua kua mimi ni die hard fan wa King Kiba,nitaendelea kumsapoti kwa nguvu zangu zote sio kwa sababu ya zawadi....thou nilikua naitamani hatariiii...lol
Naamini tutaendelea kua na mshikamano kama/hata zaidi ya zamani wale fans wenzangu.

Safi sana nifah kwa msimamo wako. Unajua kiasi cha GB unazotumia kwa mwezi kwa kuperuzi na hata kudownload?
Ova
 
Last edited by a moderator:
mapenzi yana run duniaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,mwanamke akipenda kapenda kweliiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Mtaalam masoud masoud alimsifia sana huyu bwana akadai kama hela hana bas ujue hauz unga ila c kwa kuwa kaz yake haikubalik la hasha,ila wacha 2mpende mana 2metoka nae mbal sana mfano enz ya naksh nakumbuka hata dsm kuna upand ulikuwa na mapor kias kukosa simba kaz jiulize enz hyo ulikuwa wap ndo utapata jibu
 
Safi sana nifah kwa msimamo wako. Unajua kiasi cha GB unazotumia kwa mwezi kwa kuperuzi na hata kudownload?
Ova

Sijui kwa kweli...but I don't care as long as we are together
 
Last edited by a moderator:
Mtaalam masoud masoud alimsifia sana huyu bwana akadai kama hela hana bas ujue hauz unga ila c kwa kuwa kaz yake haikubalik la hasha,ila wacha 2mpende mana 2metoka nae mbal sana mfano enz ya naksh nakumbuka hata dsm kuna upand ulikuwa na mapor kias kukosa simba kaz jiulize enz hyo ulikuwa wap ndo utapata jibu

Jamani enzi hizo za pori wengine tulikua hatujazaliwa!!!!!hahaaaa naona mutoto mwingine wa mujini kaingia...
 
Mtaalam masoud masoud alimsifia sana huyu bwana akadai kama hela hana bas ujue hauz unga ila c kwa kuwa kaz yake haikubalik la hasha,ila wacha 2mpende mana 2metoka nae mbal sana mfano enz ya naksh nakumbuka hata dsm kuna upand ulikuwa na mapor kias kukosa simba kaz jiulize enz hyo ulikuwa wap ndo utapata jibu

welikamu home sweet homeeee, kijana anajua tena sanaaaa, ndio maana kurudi kwake watu suruali zimewabana ati, acngekuwa tishio c wangetuliaaa, mbona akina mb dog n mr nice wanafurukutaga kurudi lkn watu hawapanik??? kurudi kiba watu wapo icu, jibu ni moja tu he is "the badest"
 
Na mpira anajua huyu jembe ucmpmie hata kdogo bnafs nimemuona uwanjan anajua plus mwil wake ulivyo kiargentina twaweza kumuita culo bajo na bueno aires waka2elewa,ila yote kwa yote r kely post yake naic itakata mziz wa fitina mana ndo muhimu kwa wote 2naomjua mix kumkubal mana 2po weng
 
Back
Top Bottom