Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaaah jamani!!!
niko poa (teh teeeh ucshangae nimeitikia kwa niaba, hahaaa)
mapenzi yana run duniaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,mwanamke akipenda kapenda kweliiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Hah ha ha....umenipa raha shabiki wa ukweeeli....itika tu mwaya sisi sote wamojaaa tu....
Haaa Matola,wameiga tena idea yakooo!alafu naona wanashindana kujaza page kinguvuuu....kudadeki mtaiga mpaka id!Matopa kule umefata nn....
duuh!uzi wakimbia huu...................
Usijali wangu!Hawa jamaa huwezi kuwakwepa kama umepitia COET....otherwise uwe una vinasaba na watawala!Hahahaaaaa umeniua jamani!kumbe umeajiriwa na kanjibhai....haya tutaonana baadae kibarua kisiote nyasi tukakupoteza buuuure..
Usijali wangu!Hawa jamaa huwezi kuwakwepa kama umepitia COET....otherwise uwe una vinasaba na watawala!
Wanatubana sana maofisin then tukitoka job tuna relax na Nyimbo kali za Ally Kiba..........
Mbona wana copy and paste?But wakumbuke hata kama wana haraka kias gani hawawezi omba lifti gari ya mkaa.......basi viroho vinawatokaje watu!! wanatoa sababu za kitotooo za kujifariji, ujinga mzigo wa miiba
Haaa Matola,wameiga tena idea yakooo!alafu naona wanashindana kujaza page kinguvuuu....kudadeki mtaiga mpaka id!Matopa kule umefata nn....
cheka tu mama maana wewe hubandukagi humu, kweli wewe shabiki wa damu
Sikuelewa...Matola njoo utoe ufafanuzi y unamchekea nyani huku unamtazama usoni...unafanyiwa mzaha naww unachekelea umeniudhi mkuu....!!
Umeeeleweka Moderator!.Shikamooni mashabiki wa Kiba!