Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

mama 'r' na 'l' naona zinavyokupa taabu km mtu fulani, dh z ndio zimemshinda, tukisema kiba anaweza wanakataa, kiba hata lugha anaijua

Hahahaaa unajua wakati ule nilikuwa nacomment tu ila nilikuwa na usingizi balaa na nilimboji bila hata kulog out.
lol nimerekebisha japo ninahisi nimekosea sehemu nyingi tu! Usichoke kuniambia
 
Morning people!While others are making dollars,wengine wana make mabogas...uwiii!kuna wasanii wana akili mbovu sana...hutaki kanye Boga!!Respect Kiba!!

morn mama, karibu tena hapa kwa wastaarabu, Kiba moto wa kuotea mbali ww, ukijaribu kusogeza hata pua umeunguzwa
 
morn mama, karibu tena hapa kwa wastaarabu, Kiba moto wa kuotea mbali ww, ukijaribu kusogeza hata pua umeunguzwa

Nimeipenda hii kutoka Insta......
 
Attachments

  • 1416895539249.jpg
    1416895539249.jpg
    45.9 KB · Views: 65
Morning people!While others are making dollars,wengine wana make mabogas...uwiii!kuna wasanii wana akili mbovu sana...hutaki kanye Boga!!Respect Kiba!!

Hahahaaa watu wametoa taputapuz u know...hahaaaa
 
Guys jana nimelala na raha sana hadi nimeamka na hangout ya furaha...heheheeee
 
Back
Top Bottom