Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Morning good peopleee!Another day another dollar!!Am humbled u knw!!Nimewamiss mpaka naumwa!!#bring back our Matola#....uwii sasa sijui ni kazi sijui ni familiaaa!!Sijaelewaaa...Juma Somji umetuterekeza?!

good morning...
Somji Juma tishert vp
 
Last edited by a moderator:
Wapendwa Mpoooo?
Sory mambo ya ESCROW yanatu keep busy sana...hope leo yataisha then tutajumuika wote hapa kwa KING Ally Kiba!

hatujambo sie, yeah huku ndiko tunakopoozea machungu ya escrow kwa muda
 
eti kunya anye nani vileeee!!! majina yote wametuita na kumuita kiba sie walaaa tukakaa kimya, wakiona haitoshi wanakuja huku kabisaaa na shombo zao tunawaangalia tu, ila ukiwagusa sasa uwiii wanapagawa km trafik aloacha sufuria ya ugali nyumbani inachemka akenda kutega apate ya mboga, akikosa sasa anatamani akamate hata aeroplane, hebu watupisheee wakapaliwe mbele ya safari

Hahahaaaa jamani atoto wewe ni chizi hadi hatariii hii jamani,unaniuaje sasa?
 
Last edited by a moderator:
Jana na juzi iyo mama ya'Allah..
Nilikatiza ile kona nikakutana na vijana,
Eti wamenuna kisa mwenzao nishaoa...mmh!
Ujana maji ya moto yatawakanda msipooa
Hivi punde nitaingia shamba na nitavuna nilichopanda
Kwani dume dume la mbegu Ally mashaallah!
Nitazidi kumwomba Mola anilindie mashaallah...eeeeh!
#KIMASOMASO

Hii verse naipenda mpaka naumwaaaa!!!
Si sauti tamu ile atii, maneno yake eeewwwww....Ally Kiba fundi jamani!

Uwiiiiii jamani nakipendaje hicho kipande???pia mama yangu anaupenda sana huu wimbo.
 
Morning good peopleee!Another day another dollar!!Am humbled u knw!!Nimewamiss mpaka naumwa!!#bring back our Matola#....uwii sasa sijui ni kazi sijui ni familiaaa!!Sijaelewaaa...Juma Somji umetuterekeza?!

Hahahaaaa,dah yaani Le Mutuz atatuua jamani nachekaje sasa!
Haya leo naungana na Matola siasani
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom