Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

hivi mbona kipindi kiba yupo kimya walaaa hawakuhangaika hv?? ila tokea arudi na pini la mwana watu hawali hawanyi!!!! nini shida?? km wewe sio shabiki wa kiba si basi jamani kwani unalishwa moto???
 
Jamani nimekasirikaje?mbona nimerudi tu na watu wamekimbia?bahati yenu...leo mngekiona cha moto..
I miss you guys (Kiba fans)
 
Haha hahaaah!!!Hii ni kwako bibie uliyeni quote juzi ukashtuka ukafuta haraka haraka...heheheer,utajipa shida hizo hadi lini?Mimi sina chuki na wewe,ile siku ulinikuta katika mood mbaya na nilikuchamba kwelikweli ila mimi sio mtu wa kuweka vitu rohoni,yameshapita hayo mama.

Najua utaisoma hii,ni hayo tu.
 
kunya anye kuku eeeh......, wao matusi wamezoea ujue sasa hata ukisema 'mkono' watahisi ni tusi ati, na wamekazana kweli, hebu tulieni tujifurahishe na kiba wetu jamani kiroho safiiiiii!! yeye mwenyewe walaaa hana kinyongo na mtu ila watu wanalazimisha awe walivyo, Kibaaaaaaaaaaa
 
Kwa mjadala ulioletwa na majirani zetu jana inaonesha wazi kwamba wana uelewa mdogo sana kuhusu tuzo hasa za vituo vya TV, kwa maana ya kutoa tuzo kwa video walizozipokea.
Lakini kwa ulimwengu wa sasa hali ni tofauti, kinachotazamwa zaidi na matokeo ya moja kwa moja ya mashabiki, ndio maana Adele aliweka rekodi kwa kutwaa Tuzo nyingi za Grammy kwa wimbo wa miaka ya 80 wa Van Morrison wa Someone like you ambao aliurudia.
Lakini hata hivyo, aliyeuza sana album ni Nicki Minaj ambaye pia alipata heshima kubwa kwa kuvunja rekodi ya Michael Jackson kwa kuwa na nyimbo nyingi kwenye chart ya Billboard.
Na ndio maana Davido ndiye msanii wa Nigeria aliyepata tuzo nyingi mwaka huu, lakini aliyeuza nakala nyingi za albamu yake ni 2 Face Idibia, na bado P Square ndio wanamuziki wanaopendwa zaidi Nigeria.
Kwa kawaida Tuzo za vituo vya TV zina sarakasi zake, kwanza timing ya kutoa wimbo kwa kalenda ya Tuzo za kituo husika, kuwafanya wa kwanza kupata wimbo wako na kuupiga kwa mara ya kwanza na mambo mengine.
Na ndio maana SA wanaona Tuzo za Channel O ni kama za kwao coz kituo kiko SA na Nigeria wanaona Tuzo za MTV Base ni kama zao kwa sababu kituo kiko Nigeria.
Pia, wanapaswa kuelewa kwamba Tuzo ni matokeo ya mambo yaliyopita na sio yaliyopo, na ndio maana Nassib kapata tuzo za wimbo ambao aliutoa kabla Gurumo hajafariki, tangu yuko na Penny.
Sasa kwa wakati huo Kiba hakuwa akifanya muziki, alikuwa katika kipindi chake cha miaka mitatu na nusu ya kupumzika.
Ova
 
Kuna tatizo la uelewa kwenye kazi na biashara ya muziki, niliwahi kutolea mfano wa Ice Cube kutopata Tuzo licha ya kuimba na kushiriki kwenye nyimbo kali na akiimba na wanamuziki wakali.
Sasa kutwaa hizo Tuzo za Kanda ya mashariki na kutwaa Tuzo ya mwanamuziki chipukizi ndio la kupigia kelele hapa? Tatizo wengi wa wawapiga kelele wa mtaa wa pili walianza kufuatilia muziki baada ya jirani yao Nassib kuanza kuimba.
Kwa hiyo hawana Historia yoyote ya muziki wa Kimataifa wala uelewa mpana wa muziki wenyewe, hawajui Jide alishachukua hii Tuzo ya Channel O na kutumbuiza kwenye Tuzo hizo miaka kibao iliyopita.
Ova
 
Eleweni kuwa, mkileta matokeo ya sasa ya mwanamuziki anayefanya vizuri ni Kiba, coz ana wimbo unaotamba kwenye chart za redio kwa zaidi ya miezi minne sasa, ni hatua ambayo kwa miaka ya karibuni ilifikiwa na Mwana FA kwa wimbo wa Bado Nipo Nipo na Jide kwa wimbo wa Yahaya.
Na kwa miaka ya nyuma ni MB Dog na Latifa pamoja na Kiba mwenyewe kwa Cinderella. Huyo mtu wenu hakuwahi kukimbiza na wimbo mmoja ukakaa kwenye chart muda mrefu, eleweni hili jambo halitaki akili nyingi sana kulielewa.
Kila wakati mnamuota mnamtusi Kiba, hivi mnajua kama Kiba kamgongea dadake huyo Nassib? Hamjui kama Queen Darleen aligongwa na Kiba tena long time.
Ova
 
Kila wakati mnamuota mnamtusi Kiba, hivi mnajua kama Kiba kamgongea dadake huyo Nassib? Hamjui kama Queen Darleen aligongwa na Kiba tena long time.
Ova

Haha hahaaaa,tena nasikia aliomba yeye (queen darling) ili Kiba amshike mkono mdogo wake ndomo!!!!
 
ni kutokujiamini kwa hali ya juu ujue, km msanii anafanya kazi nzuri na inajulikana why akipata tuzo watu wanaranduka!!! sio ajabu ati, this shows watu hawajiamini na wakifanyacho ila wapowapo tu na kupiga kelele nyingiii
 
wewe jiulize fiesta waliperform wasanii wangapi?? mbona wao hawahangaiki na huo uking wa kiba jamani?! kama hawapi homa nn sasa kuranduka na kupagawa kiasi hiki???
 
Kiba we kiba fanya yako baba kelele za chura walaaa zisikunyime ucngizi jamani, ndio ikupe hasira ya kufanya mambo ya maana na kutoa mawe ya uhakika mpaka waelewe japo wanajitoa ufahamu ilhali wanajua wewe mkaliiiiiiiii!!! KIBAAAAAAAA KIBAAAA KIBAAAAA
 
Back
Top Bottom