Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Jamani jamani!!! Mdakuzi ni kijana mbiiichi kabisa hata meno 32 hajafikisha......lol
Mimi ndiye ninayemjua unataka hutaki unaacha tu kwani sh ngapi?
Sitaki maswali sijajiandaa hii sio press conference


hahahaaaaaa!!! yaani nimecheka kwa nguvuu, haya mama ckuulizi kitu maana "unamjua"
 
Last edited by a moderator:
Acha kuniuzia kesi wewe....Kua straight acha kujing'atang'ata
Mimi jana nimeondoka zangu mapeema kabisa nikakuachia uwanja


mimi Mdakuzi ni babu yangu, alafu Ms.Lincoln wewe hebu uache balaa, utasababisha nifah asiniambie ilee kitu ambayo mdakuzi alimzuia kuniambia
 
Last edited by a moderator:
Kwa mnaopita kimya na kwenda kusimulia mtaani kwenu,acheni utoto!Nani alisema anasikiliza nyimbo za Kiba peke yake?!Aibu yenu hiyooo!!hapa hakuna lugha gongana ni kuwa amongst bongoflava artists wote to us Kiba is the best!!Sasa wewe tufatilieee wee akili ikuume!!jaman nmepitisha jicho kule,skupitisha kama week iv,page zote ni kutusimulia sie tuuu!!Ukiwa Royal family raha sana!!

Weweeeeee ngoja niwape siri moja wapendwa ukiona mtu anakujadili jua kuna kitu umemzidi kibaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Hahahaaa ndio hivyo jamani usimuite kijana mwenzio babu!!!


haya mama nimeach, bac km wewe mtoto hivyo mdakuzi nae atakuwa mtoto tu!!! uh hebu muite mnipe shikamoo zangu
 
Back
Top Bottom